Nitumie njia gani kukubalika na huyu mwanamke

m-boy

Senior Member
Aug 20, 2023
147
477
Habari wana JF

Niliwahi kuandika huku kuhusu ninavyomlea binti yangu wa maika 8 akiwa hana mama, nikimaanisha tunaishi 2 tu nyumbani mimi na binti yangu.

Ninashukuru sana kwa mchango wa mawazo yenu yenye hekima na uadilifu.

Lkn ktk lile bandiko kuna baadhi ya watu walikuja PM na tukajadili mambo mbalimbali, ninashukuru sana kwa wote mlioshiriki na kunishauri kwa namna moja ama nyingine.

Lkn watu walikuja , kuna binti mmoja yeye aliniambia atakuwa rafiki yangu tu. Ila ukweli huyu bint nimemuelewa sana.

Ninahisi ana kilo kama 85-95

Sio mfupi sio mrefu.

Ana miguu minene na mikono ya kike kike

Anavyoongea sasa ameniacha hoi kwake.

Nikiwa kama mwanamme itabidi nimwambie ukweli kuhusu nia yangu kwake.

Jibu lake ni moja tu

ANA MTU WAKE.

Hii kauli imekuwa msumali wa mto ktk moyo wangu, tuliwahi toka mara 2 siku za jumapili tofauti kwenda club japo tuliwahi sana kundoka.

Aliniruhusu nimkumbatie nimshike popote ambapo hapana madhara kushikwa mbele za watu.

Moyo wangu unauma sana kwa sababu nina muhitaji kweli lkn yeye haelewi na mbaya zaidi siku hizi amepoteza furaha na mimi.

Unaweza, kumpigia asipokee lkn hata baada ya kuona kama ulimpigia hafanyi chochote.

Unaweza mtumia sms lkn asikujibu.

Yeye ni member huku pia.

Sijui nimtume mshana au buji buji??

Msaada wanazengo nitumie njia gani sahihi aweze kunielewa, nipo tayali hata kumuowa , msaaad tafadhali
 
😂😂😂
Eti 'Ninahisi ana kilo kama 85-95'..!
Sasa mkuu hili linahusiana vipi na mada yako lakini..??
Enweiz,
Mueleze nia yako ya dhati pengine atakuelewa, ila kama ana mtu wake na anampenda kwa dhati, jitahidi tu u-move on utafute mwingine..

Ahsante.
 
Habari wana jf niliwai kuandika huku kuhusu ninavyomlea bint yangu wa maika 8 akiwa hana mama, nikimaanisha tunaishi 2 tu nyumbani mm na binti yangu.

Ninashuru sana kwa mchango wa mawazo yenu yenye hekma na uwadilifu.

Lkn ktk lile bandiko kuna baadhi ya watu walikuja mp na tukajadili mambo mbalimbali , ninashukuru sana kwa wooote mlioshiriki na kunishauli kwa namna moja ama nyingine.

Lkn watu walikuja mp , kuna binti mmoja yeye aliniambia atakuwa rafiki yangu tu. Ila ukweli huyu bint nimemuelewa sana.

Ninahisi ana kilo kama 85-95

Sio mfupi sio mrefu

Ana miguu minene na mikono ya kike kike

Anavyoongea sasa ameniacha hoi kwake.

Nikiwa kama mwanamme itabidi nimwambie ukweli kuhusu nia yangu kwake,

Jbu lake ni moja tu

ANA MTU WAKE.

Hii kauli imekuwa msumali wa mto ktk moyo wangu , tuliwai toka mara 2 siku za jumapili tofauti kwenda club japo tuliwai sana kundoka,

Aliniruhusu nimkumbatie nimshike popote ambapo hapana madhara kushikwa mbele za watu..

Moyo wangu unauma sana kwa sababu ninamuhitaji kweli lkn yeye haelewi na mbaya zaidi siku hizi amepoteza furaha na mm,

Unaweza,kumpigia,asipokee lkn hata baada ya kuona kama ulimpigia hafanyi chochote, ,

Unaweza mtumia sms lkn asikujibu.

Yeye ni member huku pia.


Sijui nimtume mshana au buji buji??

Msaada wanazengo nitumie njia gani sahihi aweze kunielewa, nipo tayali hata kumuowa , msaaad tafadhali
Mko mkoa gani mkuu?
 
Back
Top Bottom