Mpenzi wangu anakosa ute wakati wa tendo ushauri wako tafadhali

Yawezekana lakini nimemuuliza labda kanizoea mpaka mzuka umeisha ila amekataa katakata
Unategemea atakupa jibu la kweli kwamba amekuchoka? Kiukweli hana mzuka, ute unategemeana na mzuka alionao baada ya maandalizi, nakushauri kubaliana na hali kisha tumia KY.
 
hana mzuka, kwa sababu mtu Huyo Huyo anaweza kuongea na mtu kwenye simu au aka chat kwa SMS...na aka 'wet' vibaya.
 
Tuna mwaka na miezi 3 toka tuanze uhusiano. Mwanzo nilikua namuandaa anatoa ute wakutosha kabisa ,ila kadri siku zinapozidi kusonga hata nimuandae vipi ute unatoka lakini wakulazimisha mno!!

Hali hiyo ilivyoanza tulijua labda ni hali ya mpito lakini hakuna mabadiliko yoyote... nikimuuliza anadai yeye mwenyewe haelewi na inamuumiza kuwa hivyo na hajui tatizo nini..

Nimeona nilete jamvini maana naamini hapa hakishindikani kitu....
kuna dem 1 nlkuw nikit.omb.a goli 1 yanayofuata mtt anakauks mpk bas,,,,unamuanda unaweka kidogo..dry..weka mate nin..mpk mwanamke akaw anajistukia kwa kuona labd ananiboa...bt nikachukulia changamot...somtmz take lile wese la kule ili kuteleze..kuz michubuko ni tatzo.
 
Mkuu kwa uwelewa wangu hilo tatizo linatibika na utafurah fanya yafuatayo

Chukua bamia 3 au 4 zikate juu na chini (kichwa na mkia). Ziloweke kwenye maji kwa masaa yasopungua 11

Baada ya hapo mnyweshe kikombe kimoja cha hayo maji

Asa kwa kua ni dose ya asubuh na jion na mchanganyiko unahitaj mda mrefu inabid uchanganye hayo maji na bamia jioni kwa ajili ya kutumia asubuh na uloweke ingine asubuh kwa ajili ya jioni

Na hakika utaleta mrejesho mzuri

Tuna mwaka na miezi 3 toka tuanze uhusiano. Mwanzo nilikua namuandaa anatoa ute wakutosha kabisa ,ila kadri siku zinapozidi kusonga hata nimuandae vipi ute unatoka lakini wakulazimisha mno!!

Hali hiyo ilivyoanza tulijua labda ni hali ya mpito lakini hakuna mabadiliko yoyote... nikimuuliza anadai yeye mwenyewe haelewi na inamuumiza kuwa hivyo na hajui tatizo nini..

Nimeona nilete jamvini maana naamini hapa hakishindikani kitu....
Sio kuwa wakati mnaanza mahusiano ulikuwa unamjali sana na tuzawadi twingi plus kumtoa toa pesa baada ya hapo hizo huduma ukaanza kuzipunguza?

Maana hawa viumbe ukipunguza kuwapa vile vitu wanavyovipenda nyege nawe zinakuwaga zinawaishia wakikuona
 
Back
Top Bottom