Mpenzi wangu anakosa ute wakati wa tendo ushauri wako tafadhali

Tatigha

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
1,957
2,014
Tuna mwaka na miezi 3 toka tuanze uhusiano mwanzo nilikua namuandaa anatoa ute wakutosha kabisa ,ila kadri siku zinapozidi kusonga hata nimuandae vipi ute unatoka lakini wakulazimisha mno!!

Hali hiyo ilivyoanza tulijua labda ni hali ya mpito lakini hakuna mabadiliko yoyote nikimuuliza anadai yeye mwenyewe haelewi na inamuumiza kuwa hivyo na hajui tatizo nini.

Nimeona nilete jamvini maana naamini hapa hakishindikani kitu.
 
Aende hospital akapime kama anaweza kuwa anamagonjwa ya zinaa aweze patiwa na matibabu.
Magonjwa hayo pia hupelekea hiyo hali lkn mkienda wote mkapima kwa pamoja ni vyema zaidi itamuongezea hata yy kujiamini.
 
Angalia aina ya vyakula anavyotumia huenda kuna vinavyo sababisha hari hiyo tumia vyakula vya asili zaidi kuliko vya viwandani ikiwemo mafuta tumia ya mbegu km karanga alizeti tetele nk
 
Back
Top Bottom