Mpenzi wangu anakosa ute wakati wa tendo ushauri wako tafadhali

Peleka mada yako jf doctors utapata msaada mkuu hili jukwaa lina wajuaji wasioelewa wengi ambao wao ni mzaha muda wote ata kama mtu una shida
 
Mtibu kisaikolojia, inaonekana uliwahi kumkwaza na Hilo doa bado halijamtoka kichwani mwake.
 
Hamna mkuu mimi nataka vitu asilia

UNATAKA VITU ASILIA? KITU CHA KWANZA ASILIA NI KUTOKUWA NA MAHUSIANO KABLA YA NDOA, UNAONGEA KWA UJASIRI WATU WAZIMA TUKUSHAURI KUFANYA UASHERATI, MUOE KWANZA NDO HAYO MAJI YATAKUJA, VIJANA MNA TABIA SANA SIKU HIZI
 
Pole,
Wataka vitu asilia...
Tumia ute wa yai la kienyeji (Sio chotara), mmiminie.
 
Back
Top Bottom