Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,424
nashukuru umeelewa lengo langu, mjinga mjinga kama wewe huwezi kunipa bankiinglish on fleek. Jipangeee peterchoka
nashukuru umeelewa lengo langu, mjinga mjinga kama wewe huwezi kunipa bankiinglish on fleek. Jipangeee peterchoka
mmm....yaan mume wa mtu anakuuma hivyo...wewe ulipomtwaa hukujua unamuumiza mkewe? mwache akatwaliwe na wengine na wewe tafuta mzinzi mwenzako mwingine...usijisumbue kujitunza kinafikiNiko njia panda. Shemeji yenu mpenzi wangu ingawa ni mume wa mtu anahamia Dodoma kikazi. Nitakuwa mpweke sana. Anasema huko maisha yatakuwa magumu kwa miezi sio chini ya mitatu. Nimvumilie akiseto ataniita mara mojamoja. Masikini sijui ataweza? Keshazoea kutuliza moyo wake kila wiki mara moja au mbili. Sasa miezi mitatu si itakuwa balaa? Kila la kheri laazizi usafiri salama. Mimi nipo kwa ajili yako najitunza.
Niko njia panda. Shemeji yenu mpenzi wangu ingawa ni mume wa mtu anahamia Dodoma kikazi. Nitakuwa mpweke sana. Anasema huko maisha yatakuwa magumu kwa miezi sio chini ya mitatu. Nimvumilie akiseto ataniita mara mojamoja. Masikini sijui ataweza? Keshazoea kutuliza moyo wake kila wiki mara moja au mbili. Sasa miezi mitatu si itakuwa balaa? Kila la kheri laazizi usafiri salama. Mimi nipo kwa ajili yako najitunza.
kweleakwelea nizae? mi sina akili za Zari unazaa ukinunuliwa pampas unaona ndo matunzo. nisijeishia kuwa single parent bureeeUmemzalia au unajichekelesha tu?
Uwiiiiii Polisi jamii naomba RB yangu pleaseKWAKUWA NI MUME WA MTU SUBIRI MKEWE AKUDAKE AKUWEKEE WATU 6 WAKIHARIBU KITUMBUA CHAKO
nashukuru umeelewa lengo langu, mjinga mjinga kama wewe
Hahaha bado hujamuelewa Peter soma tena ,kaitumia hiyo Beach makusudi kumwepushia BanWakati wenzi* wanasoma ukakimbia umande halafu unajiita mwerevu. Anayekusaidia gramma wamwita mjinga!! Kweli wajinga ndio waliwao.
... #elimubure #kuulizasiujinga #elimuyawatuwazima #umande #tusioneaibu
Beach (ufukwe wa bahari).
Nipe contact zake, hata mimi ninahamia Dodoma nitakusaidia kumliwaza.
Undugu ni kufaana.Kwi kwi kwi kwi lol! Umliwaze kwa miezi mitatu mwenye mali zake akija ushachonga mzinga hutaki kushare.