Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Na wale business women wanavyojua kuhamia kwa kasi...Eli79 please usinilize
Pole mamii, huo upweke ndio gharama ya mabadiliko.
Na wale business women wanavyojua kuhamia kwa kasi...Eli79 please usinilize
Sio kwamba ataenda kuwa mpweke bana shida iko kwa bidada apa huduma zitapunguaNipe contact zake, hata mimi ninahamia Dodoma nitakusaidia kumliwaza.
Undugu kusaidiana.Sio kwamba ataenda kuwa mpweke bana shida iko kwa bidada apa huduma zitapungua
muongozaji nitafanyia uchunguzi hili jamboMpendwa wangu Sista, una uhakika jamaa anahamia Dodoma kweli!! Are you not smelling any rat?? Dizaini jamaa labda kaja na single ya kuhamia Dom kwasababu ndio wimbo unao hit sasa hivi ili akupige chini kiutu uzima bila maumivu. Tena kakuandaa kabisa kuwa miezi mitatu ya mwanzo itakuwa bila bila akiamini kuwa muda huo unatosha wewe kuzoea kuwa mbali naye...Huyo atakuachia vumbi tu huku nyuma.
Sikutishi bibie ila nashauri uje utupe mrejesho hapa baada ya hiyo miezi 3. Unaweza kuja kunipa head up huko pm pia. Ha ha haah.
Hili nalo jambo...Mpendwa wangu Sista, una uhakika jamaa anahamia Dodoma kweli!! Are you not smelling any rat?? Dizaini jamaa labda kaja na single ya kuhamia Dom kwasababu ndio wimbo unao hit sasa hivi ili akupige chini kiutu uzima bila maumivu. Tena kakuandaa kabisa kuwa miezi mitatu ya mwanzo itakuwa bila bila akiamini kuwa muda huo unatosha wewe kuzoea kuwa mbali naye...Huyo atakuachia vumbi tu huku nyuma.
Sikutishi bibie ila nashauri uje utupe mrejesho hapa baada ya hiyo miezi 3. Unaweza kuja kunipa head up huko pm pia. Ha ha haah.
Mimi niko karibu yako umenikaushia,je huyo wa Dodoma?Nipe contact zake, hata mimi ninahamia Dodoma nitakusaidia kumliwaza.



Teh teh...tatizo Sista anaogopa kukatiwa "huduma" ghafla. Hajui kuwa jamaa hela imekata, hapo kapewa "signal" lakini bahati mbaya haelewi nini kinaendelea.Na wale business women wanavyojua kuhamia kwa kasi...
Pole mamii, huo upweke ndio gharama ya mabadiliko.