Authentique
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 223
- 105
Haaaaaa... Na wako wengiiii.... Dodomya
habari unayo, kashakufunuafunua na ndo huyo anasepa zake, broke bitchWakati wenzi* wanasoma ukakimbia umande halafu unajiita mwerevu. Anayekusaidia gramma wamwita mjinga!! Kweli wajinga ndio waliwao.
... #elimubure #kuulizasiujinga #elimuyawatuwazima #umande #tusioneaibu
Beach (ufukwe wa bahari).
Unatujaribu?? Haki sisi hatujaribiwi........ in dikteta's voice

muongozaji nitafanyia uchunguzi hili jambo
Bora hata zari ana uhakika diamond hata akienda ulaya ana uhakika na mawasiliano na anarudi, wewe mchepuko anaenda hapo tu dodoma unawaza ha ha ha ha hakweleakwelea nizae? mi sina akili za Zari unazaa ukinunuliwa pampas unaona ndo matunzo. nisijeishia kuwa single parent bureee
ha ha ha njoo uchukue nyumbaniUwiiiiii Polisi jamii naomba RB yangu please
Kumbe hii thread umeanzisha wewe?Niko njia panda. Shemeji yenu mpenzi wangu ingawa ni mume wa mtu anahamia Dodoma kikazi. Nitakuwa mpweke sana.
Eeeh.....yesPole sista..Ukiwa bored sana unaweza kunitafuta tusogeze siku..Na kama unahitaji ndoa naweza kukupa ofa