Mpenzi wangu ana wivu sana

Mpenzi wangu ana wivu sana

anadai me ni wanne kwake

Hilo sasa ndio tatizo....alishatendwa na wengine 3 ndio maana anaishi na wewe kwa wasiwasi.....nenda naye polepole na ujitahidi kumuaminisha kwamba upo tofauti na hao waliotangulia....kumuaminisha na si kumuelewesha.....kwa kuanza tu achana na hivyo vimeo vyako viwili....kumbuka huyu alishatendwa...so kosa moja tu mtamwagana.....so jombaa kama umeona ni msichana unayeweza kuwa na future naye anza kubadili tabia yako.....wewe ukiwa kwenye mstari hutoona tatizo mtu anapokuwa na wivu nawe...ila kwasasa lazima uone kuwa hilo ni tatizo kwakua humchafu.
 
mkuu ye kuachwa hajawahi anavosema na hajui maumivu ya kuachwa pia hajui kwa nini ananipenda sometimes kuliko hata mama ake
 
mkuu ye kuachwa hajawahi anavosema na hajui maumivu ya kuachwa pia hajui kwa nini ananipenda sometimes kuliko hata mama ake

We utakuwa umedata....si umetuambia kuwa wewe ni wanne au??? Hiwe ameachwa au kaacha.....hilo ndio tatizo shekhe....fanya niliyokushauri and you will be just fine ok.
 
nishawah muuliza kama ana wivu akasema ndio

Nimecheka sn? ss hilo swali gani kumuuliza mpenzi wako kama anawivu na ww!wivu n lazima km hakuonei wivu basi akupendi,yupo anaemuonea wivu.
 
Shukuru MUNGU! Hiyo hali ninayo mimi,, ni hivi hata kama hujanipa chochote huwa na muwazaga sana soul wangu na ukiona nimeacha kukufatilia nyendo zako ujue kuna anae fatilia nyendo zangu kwa kunitaka kimapenzi hivo naanza kukusahau taratibu so uckate tamaa endelea nae ndivo tulivo.
 
Goli tisa?

Umekua kuku?, hongera.

Isiwe magori tu,yawe ya maana ambayo yanamfurahisha.

Ukikutana nae tena mpige team, first eleven na kocha.
 
Kwa post na comment zako naona bado kama hujakua kiakili....mtu anakwambia anakupenda kuliko mama yake...hajawahi kuachwa...inajenga nini kwa mahusiano yako?...ok kujisifu kuwa una...mpk 9 ilikuwa na uhusiano gani na wivu wa mpz wako?kuna mambo mengine sio muhimu watu kuyajua then ndoa ina changamoto nyingi inahitaji mtu committed na aliyekuwa kiakili so wivu ni just minor case kukuumiza kichwa mpk kuja kuripoti hapa..angali wanaume wenzako wangefunguka changamoto walizopitia na jinsi walivyosolve ungekaa kimya...then kama una future na mtu kwa nini uwe na vimeo pembeni..huoni kuwa hiyo ni moja
ya sababu kuu ya wivu wa mpz wako?ninachoona kuna mazingira yanayofanya mpz wako asikuamini na ndo maana anakuwa na wivu mwingi juu yako...so jaribu kubadilika na kumpenda bila kugawa upendo wako.
 
Habari wakuu:

Katika kipindi cha mahusiano nilichopitia sijawah kuwa na msichana mwenye wivu kama huyo wa sasa.Tumekuwa pamoja kwa mda mrefu kidogo lakini ana wivu wa kupitiliza.

Anatumiaga namba za marafiki zake kunipima kama nina mpenzi mwingine lakini huwa nagundua ni yey ananijaribu so namjibu as yupo yeye tu.

Pia anavuka mipaka hadi anamuliza rafiki yangu wa karibu kama nina mpenzi mwingine hujibiwa ni yeye tu japo ninao wengine kama wawili wa kuzugia coz ye anaonyesha ana future na mimi.

Je huo ni upendo wa dhati au?maana kitandani nampaga doze ya kueleweka hadi 9 siku zingine toka asubuhu hadi jioni.

Kweli umri wa balehee na std 7 kuhitimu ni shiiidaaa humu.
 
Nimecheka sn? ss hilo swali gani kumuuliza mpenzi wako kama anawivu na ww!wivu n lazima km hakuonei wivu basi akupendi,yupo anaemuonea wivu.

Hivi huyu hata miaka 15 amefikisha kweli?!! Am soo wandaz
 
Kwa taarifa yako anahisia sahihi kuwa wewe si mwaminifu but hajui exactly kuwa uko na nani. Nashukuru umekiri mwenyewe kuwa wewe ni fisi. Huwezi kumdanganya mwanamke asihisi kitu, hawa ni viumbe wa ajabu sana, mbali na hisia wanapenda kuunganisha nukta hadi wanapata kitu kizima bila ww kujua. Kaa ukijua hilo
 
Back
Top Bottom