kwich kwich
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 366
- 106
wazungu.......
Asee inamajina tele dadeq,ngoja na mm nikapige 9???
wazungu.......
me ni mkubwa mkuu
Anaogopa kukwambia kuwa we ndo wakwanza. Anahisi utamwona f.a.la. Nenda naye taratibu mvumilie kama unampenda hicho tu ndo kinachomata, mengine yote funga vioo.may be,coz ananiambiaga hajawai enjoy akiwa na hao wengne kabla ya me
Kama mtu ana mwili mkuubwa kama tembo lakini ana akili ndogo kama nukta, automatically huyo anawekwa kundi la watoto!
Sasa huoni akikufuma ndio utamkosa? kwakuwa unampenda anza kuchana na hao wengine hata kama mko mbali, ukikaa kwa muda bila nono hutadhurika, ukisikia na yeye ana mwingine kwa sababu mko mbali natumaini hutakubali, nae ana hisia, anaweza kuja kukufuma.niko nae mbali huyo mpenzi wang
Sasa huoni akikufuma ndio utamkosa? kwakuwa unampenda anza kuchana na hao wengine hata kama mko mbali, ukikaa kwa muda bila nono hutadhurika, ukisikia na yeye ana mwingine kwa sababu mko mbali natumaini hutakubali, nae ana hisia, anaweza kuja kukufuma.
Izo tisa kwani vita au ndo ile tak.o 3 wareno haoo....
We mtu wa ngap kwake??? Au ndo wa 1,2,3
Habari wakuu:
Katika kipindi cha mahusiano nilichopitia sijawah kuwa na msichana mwenye wivu kama huyo wa sasa.Tumekuwa pamoja kwa mda mrefu kidogo lakini ana wivu wa kupitiliza.
Anatumiaga namba za marafiki zake kunipima kama nina mpenzi mwingine lakini huwa nagundua ni yey ananijaribu so namjibu as yupo yeye tu.
Pia anavuka mipaka hadi anamuliza rafiki yangu wa karibu kama nina mpenzi mwingine hujibiwa ni yeye tu japo ninao wengine kama wawili wa kuzugia coz ye anaonyesha ana future na mimi.
Je huo ni upendo wa dhati au?maana kitandani nampaga doze ya kueleweka hadi 9 siku zingine toka asubuhu hadi jioni.
Hivi shule zimefungwa?