sasa mbona anakuwa msumbufu hivyohapana mkuu hana tatizo pia nimefanya uchunguzi hanisaliti hata
yote yanawezekana ila mkae muongee sababu kutumia namba za rafiki zake ili aone kama unamcheat sio ishulabda ana wasiwasi anaweza akaibiwa
haya.. but kwa ushaur baki njia kuu utampoteza huyo dada kama ni kweli una future nae devote ur time to her na kila kitu msaidie ili aweze overcome jealousy maana nae inamuumiza kua hivo coz ts seems hakuamini...
Duuh..Mkuu bao 9??..we utakuwa unahesabu hadi mkojo
Hahaha. Ukute anahesabu strokes huyu jamaa.
Kwanza anatubeba tu hapa. Kasema anaona kama manzi hana future na yeye, ndiyo maana ana kazi za pembeni, halafu bado anatuuliza kama huyo manzi ana upendo wa kweli. Hii story yote utakuta ni cover-up ya promo tu.
Ukiona mtu ana wivu sana na kukufuatilia sana, jua hatimizi wajibu wake vizuri ivo anawasiwasi.
hamna best hyo kitu ni kama kaugonjwa flan hivii, watu wenye wivu kama mimi huwa ni kupenda kupitiliza ndo tatizo kubwa ambalo watu hawalijui,
mi naweza muonea wivu mtu hata akiwa amelala nikamfunua uso nikamcheki kama ndo tumekutana nikamkumbatia kwa bashasha na mabusu hadi anashangaa wewe vipi unataka ninii?? kumbe wala nna upendo mlipuko kuna saa unakuja gafla tu
so wewe unaona kawaida au?so ipu mkuu na ameshafanya ivo zaid ya mara 1 ila huwa nagundua ni yeye so anabaki kujiamin yupo yeye tu
Yanaweza kuwa ndo mahusiano(relationship not sex) ya kwanza kwake.anadai me ni wanne kwake