KAMANDA MKUBWA
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 288
- 78
Acha uzinzi, hao wengine wa nini?
Habari wakuu:
Katika kipindi cha mahusiano nilichopitia sijawah kuwa na msichana mwenye wivu kama huyo wa sasa.Tumekuwa pamoja kwa mda mrefu kidogo lakini ana wivu wa kupitiliza.
Anatumiaga namba za marafiki zake kunipima kama nina mpenzi mwingine lakini huwa nagundua ni yey ananijaribu so namjibu as yupo yeye tu.
Pia anavuka mipaka hadi anamuliza rafiki yangu wa karibu kama nina mpenzi mwingine hujibiwa ni yeye tu japo ninao wengine kama wawili wa kuzugia coz ye anaonyesha ana future na mimi.
Je huo ni upendo wa dhati au?maana kitandani nampaga doze ya kueleweka hadi 9 siku zingine toka asubuhu hadi jioni.
Kwa post na comment zako naona bado kama hujakua kiakili....mtu anakwambia anakupenda kuliko mama yake...hajawahi kuachwa...inajenga nini kwa mahusiano yako?...ok kujisifu kuwa una...mpk 9 ilikuwa na uhusiano gani na wivu wa mpz wako?kuna mambo mengine sio muhimu watu kuyajua then ndoa ina changamoto nyingi inahitaji mtu committed na aliyekuwa kiakili so wivu ni just minor case kukuumiza kichwa mpk kuja kuripoti hapa..angali wanaume wenzako wangefunguka changamoto walizopitia na jinsi walivyosolve ungekaa kimya...then kama una future na mtu kwa nini uwe na vimeo pembeni..huoni kuwa hiyo ni moja
ya sababu kuu ya wivu wa mpz wako?ninachoona kuna mazingira yanayofanya mpz wako asikuamini na ndo maana anakuwa na wivu mwingi juu yako...so jaribu kubadilika na kumpenda bila kugawa upendo wako.
Kwa taarifa yako anahisia sahihi kuwa wewe si mwaminifu but hajui exactly kuwa uko na nani. Nashukuru umekiri mwenyewe kuwa wewe ni fisi. Huwezi kumdanganya mwanamke asihisi kitu, hawa ni viumbe wa ajabu sana, mbali na hisia wanapenda kuunganisha nukta hadi wanapata kitu kizima bila ww kujua. Kaa ukijua hilo
Shukuru MUNGU! Hiyo hali ninayo mimi,, ni hivi hata kama hujanipa chochote huwa na muwazaga sana soul wangu na ukiona nimeacha kukufatilia nyendo zako ujue kuna anae fatilia nyendo zangu kwa kunitaka kimapenzi hivo naanza kukusahau taratibu so uckate tamaa endelea nae ndivo tulivo.
Izo tisa kwani vita au ndo ile tak.o 3 wareno haoo....