Mpenzi wangu ana mimba ya ex wake

Hiyo mimba unauhakika ni ya x wake.au mlikuwa mnachangia?
Piga hesabu kwanza
 
Msema kweli ni mpenzi wangu,kwa kuwa amekuwa muwazi katika hili si vibaya ukawa naye kama hana mpango na X wake.
 
Hakuna cha kujiuliza hapo zaidi ya kuachana naye unataka kujuwa ukweli upi tena
([emoji3] [emoji3] [emoji3] Mimi nilishawai kupewa pesa za matumizi na mwanamme aliyepata kumzalisha mpenzi wangu eti kampe hii mama Fulani kwa ajili yake na mtoto [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Angalia ucje ikatokea na kwako )
 
([emoji3] [emoji3] [emoji3] Mimi nilishawai kupewa pesa za matumizi na mwanamme aliyepata kumzalisha mpenzi wangu eti kampe hii mama Fulani kwa ajili yake na mtoto [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Angalia ucje ikatokea na kwako )[/QUOTE]


hahahaha we jamaa jinga sana hahahaa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] dah!!unaonaje ukimuacha tu yeye na baba kijacho wake waendelee kua pamoja.Au unataka kulea isiyokua yako?[emoji1] [emoji1]
 
Wewe ndo x sababu ana mimba ya mtu mwingine ambaye ndio present ake
 
Mng'ang'anie tu kama unaona huwezi ishi bila yeye wakati warembo wote wa dunua hii ni halali yako.
Chief najaribu kuvaa viatu vyako. Naona jinsi unavo umia...inauma sana hyo ktu hasa ukiambiwa tuachane eti kisa ana mimba na ukifkilia umeshazama na ndo huez rudiana nae tena hadi ajifungue alee miaka zaid ya mitano baadae. So hurts.
 
Mapenzi hayaa mhmmhmhmhmh
Cc Smart911
mahondaw wangu... Kuna watu wanatabia mbaya sana...

Anaweza achana na mwanamke... Akijua huyo mwanamke kapata mtu atamlaghai tena na kumuharibia...

Same kwa wanawake...

Mwanaume anapokuwa single kila mwanamke anajifanya kumtolea nje.. Ngoja awe occupied, utaona wanawake wanavyomshobokea...

Mwanamke kamkosea sana jamaa... Kama alikuwa bado anampenda Ex asingeanzisha mahusiano mengine, angejipa muda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…