Ha ha mkuu yote majibuIvi miss chaga ulipokus mtoto ulivalishwa zile senti zazaman zenye kitobo katikat ???? Au ulichanjiwa majivu ya ile noti ya miambili ???? Au ulinyweshwa maji ya noti nasaraf zilizochemshwa ????? Au vyote kwa pamoja ??
Maana unajua Pesa mnoo
Sawa ,,, itabidi unifundishe kutafuta Pesa maana najua kutumia tu.Ha ha mkuu yote majibu
Wewe na huyo mleta uzii ndo wadhaifu. Ukome kujumuisha wanaume na vituu vya kijinga jingaaila sisi wanaume ni wadhaifu
daaaah
kila nafasi ya kupata pesa itumia ila tu usikubali kupoteza uwanaume wakoSawa ,,, itabidi unifundishe kutafuta Pesa maana najua kutumia tu.
Changa la macho, ameona kuna kitu hauko sawa kaona akwambie kitu hauna jinsi bali kukubali.Wakuu
Hivi majuzi nilipata kuonana na msichana Fulani ambaye tulizoeana baada ya muda mfupi na hadi tukafikia hatua ya kuwa wapenzi. Na kwa kweli kwa Siku za mwanzo tulikuwa tunapendana sana labda kwa kuwa ni mwanzo. Lakini Jana ameniambia kuwa ana mimba na ni mimba ya MTU aliyekuwa naye kabla. Ameniomba tuachane kwa kuwa anahisi hanifai tens...hadi sasa nipo dilemma...
Chizi kweli weee ivi unadhan Pesa tu inaweza kunipotezea uanamme Wangu ?? Nyau we .kila nafasi ya kupata pesa itumia ila tu usikubali kupoteza uwanaume wako
sawa na asante, Mungu akubarikiWewe na huyo mleta uzii ndo wadhaifu. Ukome kujumuisha wanaume na vituu vya kijinga jingaa
napenda kwa kuwa umenielewaChizi kweli weee ivi unadhan Pesa tu inaweza kunipotezea uanamme Wangu ?? Nyau we .
Asante lkn nitazidi kufanya ivo.
Poa, bana, sasa inabidi mwanangu wakiume baadae aoe Binti yakonapenda kwa kuwa umenielewa
Sawa tuPoa, bana, sasa inabidi mwanangu wakiume baadae aoe Binti yako
Duuuuhh ila wwSawa tu
usijali me nipo kawaida tuDuuuuhh ila ww
Duuuuhh basi bana sinmekutext kule A.M ,,nilichokikuta kweli we nimiss chaga .usijali me nipo kawaida tu