Wakuu
Hivi majuzi nilipata kuonana na msichana Fulani ambaye tulizoeana baada ya muda mfupi na hadi tukafikia hatua ya kuwa wapenzi. Na kwa kweli kwa Siku za mwanzo tulikuwa tunapendana sana labda kwa kuwa ni mwanzo. Lakini Jana ameniambia kuwa ana mimba na ni mimba ya MTU aliyekuwa naye kabla. Ameniomba tuachane kwa kuwa anahisi hanifai tens...hadi sasa nipo dilemma...
Pole sana,, ipo ivi , mwanamke wakati wa mahusiano huwa wanapenda sana sasa ikitokea umemuacha huwa anateseka sana kiakili kiasi kwamba wanajikuta wanatafuta au kufanya jambo lolote just to please their muscles,, nerves and brain ,,ktk huo muda nido wakati ambao Mwanamke huwa rahisi sana kumkubalia mwanamme yoyote wakwanza atakayemtongoza ,,,wanafanya hivi kwasababu mbili ,,, Moja kukuonyesha wewe uliyemuacha kua bado analipa (lkn hii huwa na furaha ya uson moyon anakuwaza ) lkn pili ,, kuridhisha mwili wake ns kurefresh mind ( ukweli nikwamba Sex inatoa mawazo na inamfanya MTU kua active ).
Narudi kwako ,,,,,Wewe kijana kwanza utambue huyo mwanamke hakua anakupenda wewe isipokua umempata kwasababu ya nyakati ngumu alokua nao kimausiano either aliachwa na mpenzi wake then we ndo ukaingia ( hakua najinsi zaidi ya kukubalia ) .
Sasa kajikuta ana mimba ya x wake ,, sio inshu sana kama anakupenda mngekaa mkaona namna ya kuishi mkiwa still ktk mahusiano ( mimba nijambo lakawaida ambalo halimwondolei MTU thaman).
Ila kwakua ameshamjulisha x wake kua anamimba na "Wenda " wamesameheana sasa wanataka kurudiana Walee mimba yao ,,ndo sasa Mdada anatafuta njia nyingine ya kukuacha wewe on the expense of herself !! ,,kwaiyo kwanza usupanick napia let her go,, sometimes we met a wrong people before the right one ,, that was just a crush ....
Mruhusu aende then fanya maisha yako ,, kinyume nahapo unamtafuta Mwalimu Scorpion !!.