Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,401
- 465,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmekutana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmekutana
wa kunyang'anyana simuWivu muhimu kwenye mapenzi jamani
De nada
ukizidi karahaa mkuu.......tena usumbufu mkubwa.......Wivu ni kiunganishi cha upendo
Bwege huyo jamaa, mi mpenzi mwenye wivu ndio nampenda hasa maana najua hawazi kingine zaidi ya nyendo zanguMkipendwa mnalia lia na kuleta thread jf wenzako wanatafuta bahati kama hiyo na hawaipati halafu mambo kama hizo ni kuzimaliza tu wenyewe jamani
Ndio kisingizio cha wengi, family matters zipi ambazo ni za siri kiasi kwamba mtu atakiwi kujua aisee. Sidhani kama mamaako unaweza ongea nae mambo ya dizaini kwamba hayawezi sikilizwa na mpenzi wakoKwahiyo kila unachoongea na mzaz unataka mpenz wako ajue!?? What if kama ni family issues na stuffs! Wakati mwingine privacy matters
Inawezekana ila mleta maada ni mtotoukizidi karahaa mkuu.......tena usumbufu mkubwa.......
Poleee Sana mkuuuUsilete personal issues huku jf, mambo ya unyumba ni ya kwako, jitahidi kuyatatua huko kama kila mtu angeleta yaje hapa uwanja huu usingetosha tena sisi wengine ndio usiseme, tuna mazito kuliko hayo
na urembo wetu lkn bado tunaumizwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzuri wetu waafrika matatizo tunayachukulia kama ushindani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzuri wetu waafrika matatizo tunayachukulia kama ushindani
Atakuwa anataka ile kama anatoka asijue anaenda wapi wala kufanya nini, akirudi saa8 usiku sawa hata asubuhi,Eee sasa kama usipokua na wivu manake hujampenda uyo mtu,afanye analotaka we hujali
Yaani ukiona hivyo sio mwaminifu anajaribu kujihami kwakusema anawivu, mpenzi akiwa na tabia mtambukaUjue mtu usipo kuwa mwaminifu kwenye mapenzi huwezi kuwa huru kuongea na simu
Mleta maada kakosea ila alijua yuko sahihi hapa atajifunza kitu
Ila ndo mapito ya mapenzi kuvumiliana kunatakiwa kuchukua nafasiYaani ukiona hivyo sio mwaminifu anajaribu kujihami kwakusema anawivu, mpenzi akiwa na tabia mtambuka
lazima awe na mashaka mashaka sana
Ampe darasa tu ajiaminishe kama anampenda basi, kuna vitu usipo mchukila mwenza huwezi ishi naIla ndo mapito ya mapenzi kuvumiliana kunatakiwa kuchukua nafasi
Hili ndilo la msingi maana asipo pata darasa madhara huwa yanakuja badaeAmpe darasa tu ajiaminishe kama anampenda basi, kuna vitu usipo mchukila mwenza huwezi ishi na
mtu mliyekutana naye mkiwa na meno 40 mdomoni