Mpenzi wangu ana gubu, jambo kidogo lazima aongee

Mpenzi wangu ana gubu, jambo kidogo lazima aongee

Usilete personal issues huku jf, mambo ya unyumba ni ya kwako, jitahidi kuyatatua huko kama kila mtu angeleta yaje hapa uwanja huu usingetosha tena sisi wengine ndio usiseme, tuna mazito kuliko hayo
na urembo wetu lkn bado tunaumizwa
Pole sana mama
Unaweza share Na Mimi Pm japo kwa dk kadhaaaa
 
Usilete personal issues huku jf, mambo ya unyumba ni ya kwako, jitahidi kuyatatua huko kama kila mtu angeleta yaje hapa uwanja huu usingetosha tena sisi wengine ndio usiseme, tuna mazito kuliko hayo
na urembo wetu lkn bado tunaumizwa
Ndio wewe nn mkuu?[emoji23]
 
Umesema mpenzi mean hujamuoa au siyo , ? Vipi siku uliyo mpata ulikuja hapa JF kutuambia ?? Je mara ya kwanza kukuvulia pia ulikuja hapa JF kutueleza ???
Wajuaj mbona hamuishagi! Mnaojiona perfect siku zote na kuona wenzenu wanazngua.. na inawezekana we ni ***** maana sio kwa kudandia huko
 
Kawa mpole anashinda na chupi tu ndani kunitamanisha nim mege lakni sina mzuka nae..
Ana nitega tega lakni nishatumbukiwa na nyongo..

Sikuweza kutengeneza uhusiano wa picha na story kwa sabau nilidhani labda ndo picha yake akiwa ndani na chupi anakutega ila ngoja niendelee.

Matatizo ya wivu kwene mahusiano yapo sana tu ila si makubwa hivyo. Nadhani linaweza vumilika kama anafaa kuwa mke kwa sababu kwenye ndoa kuna makubwa zaid ya hayo.
 
Mpenzi wangu ana wivu sana, ana gubu sana yani jambo dogo lazima aongee.

Wakati mwingine anahisi hisi tu mambo nilishangaa aliponiuliza huyo malaya wako ni mzuri kuliko mimi? Au anajua kufanya mapenzi kuliko mimi?

Nilimshangaa anahisi nina mwanamke mwingine, kifupi nimechoka na mabalaa yake, kuna siku kanikuta nimesimama pembeni naongea na simu akaja ghafla akanipora na kuanza kuongea ujinga ndipo alipogundua naongea na mama yangu mzazi basi kuanzia pale sina mapenzi nae tena.

Sasa hivi nampotezea na nishamwambia kuwa mwisho wake umefika lakini cha kushangaza sasahivi ndo anajifanya yupo deep na mimi.

Kawa mpole anashinda na chupi tu ndani kunitamanisha nifanye nae mapenzi lakini sina hamu nae.Ana nitega tega lakini nishakuwa na nyongo.
Mvumilie
 
Back
Top Bottom