Mpenzi wangu ana gubu, jambo kidogo lazima aongee

Mpenzi wangu ana gubu, jambo kidogo lazima aongee

Usilete personal issues huku jf, mambo ya unyumba ni ya kwako, jitahidi kuyatatua huko kama kila mtu angeleta yaje hapa uwanja huu usingetosha tena sisi wengine ndio usiseme, tuna mazito kuliko hayo
na urembo wetu lkn bado tunaumizwa
Kumbe matatizo ni mashindano nilikua sijui.. well then, we r not the same.. nimekataa kuwa kaa.. by the way hakuna kitu personal hapo stuff hizo zipo sana mtaan

Sent from my HTC One E9PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Wivu muhimu kwenye mapenzi,inaonekana nyendo zako nzuri,unaendaje kuongea pembeni hata kama unaongea na mzazi.Huko kusimama pembeni ni lazima kuwe na mashaka
Wivu mzuri kwenye mapenzi ila ukizidi ni karaha pia kumbuka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa wewe unategwa na papuch utaki kula...aya mwambie akutege na chips bas
 
kheeee kheee kheeeee ni Majanga Mkuu. Wivu ni mzuri kwenye penzi lakini ukizidi ni BALAA KUBWA sana. Unaweza kabisa ukajiona kama mfungwa vile kwa jinsi unavyofuatiliwa usiongee na huyu, usiongee na yule. Mbona yule nnakuona naye mara nyingi mkiongea blah blah blah. Hunipendi wewe ila mimi nakupenda sana unabaki kushangaa tu.

Sepa Mkuu kuliko kukosa raha kiasi hicho kisa nini KUPENDA. Mwanamke kama hajiamini basi hajiamini tu na hakuna jinsi Mkuu.



Mpenzi wangu ana wivu sana, ana gubu sana yani jambo dogo lazima aongee.

Wakati mwingine anahisi hisi tu mambo nilishangaa aliponiuliza huyo malaya wako ni mzuri kuliko mimi? Au anajua kufanya mapenzi kuliko mimi?

Nilimshangaa anahisi nina mwanamke mwingine, kifupi nimechoka na mabalaa yake, kuna siku kanikuta nimesimama pembeni naongea na simu akaja ghafla akanipora na kuanza kuongea ujinga ndipo alipogundua naongea na mama yangu mzazi basi kuanzia pale sina mapenzi nae tena.

Sasa hivi nampotezea na nishamwambia kuwa mwisho wake umefika lakini cha kushangaza sasahivi ndo anajifanya yupo deep na mimi.

Kawa mpole anashinda na chupi tu ndani kunitamanisha nifanye nae mapenzi lakini sina hamu nae.Ana nitega tega lakini nishakuwa na nyongo.
 
Yaani huyo hafai kuwa mke...utateseka maisha yako yote....hata biblia inasema "kama ilivyo ngumu kwa mzee kupanda mlima uliojaa mchanga ndivyo ilivyo kwa mume mpole kuishi na mwanamke mwenye makelele" nimesahau kwenye biblia ni kitabu gani.
 
Chukua jukumu la kumtuliza kwamba unampenda na yukonpeke yake ili nafsi yake itulie
Yawezekana ameona dalili za kupuuzwa hivyo kuwa 'insecure'...akihakikishiwa upendo kwa maneno na vitendo yawezekana akatulia kabisaa na akazidisha upendo
 
Usilete personal issues huku jf, mambo ya unyumba ni ya kwako, jitahidi kuyatatua huko kama kila mtu angeleta yaje hapa uwanja huu usingetosha tena sisi wengine ndio usiseme, tuna mazito kuliko hayo
na urembo wetu lkn bado tunaumizwa
umeandika pumba tu sema kwa vile humu kuna wajnlinga wachache basi wame like comment yako...kama kila mtu akitatua matatizo nyumbani,wewe utachangia nini
 
Back
Top Bottom