Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

jafarikyaka

Kumpenda nampenda,nikijaribu nikaona bado anaweweseka na mji naachana nae maisha yanasongo mbele.
 
Last edited by a moderator:
Na makundi pia huwa yana nafasi kubwa sana. Akikubali kurudi kwenye mstari nakushauri mkapime.

Unayosema ni kweli,kama angekuwa na kundi la watu wenye hofu na Mungu nadhani mpaka sasa angekuwa bado wangu.Kapata popo wanakesha kwenye kumbi za starehe hivyo lazma naye apate wa kukesha naye.
 
Kwenye ishu za mapenzi hakunaga maamuzi sahihi wala maamuzi yasiyo sahihi. Lakini bado maamuzi yanabaki kati ya wapenzi wawili.
Sisi tusiovaa viatu vya mahusiano yenu tutaongea vile tunavyodhani kwa kuangalia uhusiano wetu kwako au kwa mwenza wako au kwenu.
Jua unachokihitaji maishani mwako kwenye upande wa mahusiano ya kimapenzi. Kisimamie ukipate!
 
Mkuu km amekuja kusoma huku Dsm, naomba fanya mengine, huku DSM ushamtoa sadaka huyo!
 
yuko chuo! dah umeshampoteza,hapo huna chako,najuwa unaumia ila fanya mengine
 
Unanicheka nini sasa, ujue mwenzio namaanisha wala sio sababu ya kalio lake,makalio yapo mengi lakini kwake mwisho wa reli.

Alafu nna mzigo wako sema nakosa jinsi ya kukutumia,ukipata mtu anakuja huko utanistua.

Heee naomba uniletee mbezi maana nipo dar
 
mambo ya first love..mpende Mungu wako kwanza, hawa baadae, wapo tuu..mwenzako ndio kashaanza kuonja utamu wa maisha ya chuo
 
Labda una swaga za kizee ndo mana ame Ku dump akamtafta wa type yake. Hata akikubalia murudie anakudaganya wewe utabaki kuwa mshika pembe wenzio wanakamua maziwa.
 
Mie nakushauri uachane naye ,Najua unampenda na itakuumiza sana, lakini utapata faraja ,achana naye usije ukafa siku si zako!
 
Back
Top Bottom