Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

Nenda kwao katoe posa na baada ya hapo utajua kama kweli bado anakupenda ama vipi,acha ngono.
Posa tena wakati bado sijawasiliana vyema na mhusika,alafu posa yao ndefu maana ni jamii ya wafugaji hivyo lazma kwanza mambo yakae sawa.
 
Mpe wanachompa wenzako hao matozi....
1- mmpe pesa ya kutosha
2- mpe usafiri wa kueleweka
3- mpangie nyumba masaki
4- usisahau kumla kalio maana wanachuo ndio kitu wanapenda wanasema ni "kinga asilia ya kuzuia mimba mashuleni"

Haaaa si hadi awe na hizo pesa za kumpa ......
 
aache ngono
wewe umemfanyaje mamako?????
Mkuu nashindwa kukuelewa swali lako,hebu liweke vizuri ili hata nikijibu ieleweke vizuri maana naona maajabu kuingiza mama katika mada hii.Ukiona huwezi kaa kimya tu.
 
Mhhhhhh nimejikuta nimecheka ..
We Chachu Ombara lini umeanza kutuwekea chai humu...
Anyway naona kalio ndo linakutatiza tafuta mwingine mwenye kalio kali zaidi lake

Unanicheka nini sasa, ujue mwenzio namaanisha wala sio sababu ya kalio lake,makalio yapo mengi lakini kwake mwisho wa reli.

Alafu nna mzigo wako sema nakosa jinsi ya kukutumia,ukipata mtu anakuja huko utanistua.
 
Mpe wanachompa wenzako hao matozi....
1- mmpe pesa ya kutosha
2- mpe usafiri wa kueleweka
3- mpangie nyumba masaki
4- usisahau kumla kalio maana wanachuo ndio kitu wanapenda wanasema ni "kinga asilia ya kuzuia mimba mashuleni"
Hahahaha No 4 Duh kama inaukweli fulani hivi amazing indeed
 
Mwambie hoe bado anaamini limbwata shauriyake atalia
 
huyo dem malaya xn huwa namuon maeneo ya survey xn
huwa anashobo xn kw mabitoz n ma hb km mm
xema wa kawaida co kw sifa hzo ulizompa
 
Mpe wanachompa wenzako hao matozi....
1- mmpe pesa ya kutosha
2- mpe usafiri wa kueleweka
3- mpangie nyumba masaki
4- usisahau kumla kalio maana wanachuo ndio kitu wanapenda wanasema ni "kinga asilia ya kuzuia mimba mashuleni"
Duh Who cares!!
 
Thubutu!! Wala sijaomba ashauriwe yeye bali mimi ndio naomba kushauriwa.

😂😂😂😂😂nataka nifahamu tatizo pande zote,ili niweze kushauri mkuu,hakimu mzuri anasikiliza pande zote kwanza
 
Yaani wadada wa kitanzania wote waliojaa tukupe ushauri uende nje ya nchi????

Wa humu tz atawaoa nani na idadi ya wanaume inapungua siku hadi siku??????
 
Mlipie ada hata semi moja akuheshimu we unavua tu nguo unahisi .....

Mpwa nilimlipie ada wakati anakula boom 80%? Sema za matumizi kidogo kidogo.

- Alafu mbona juzi umenikalisha kituo cha BVR mbezi beach shule hujatokea?
 
daah hawa vijana wetu ni mtihani kwelikweli yaani mzazi anajitahidi kumlipia kukusomesha kumbe huko vyuoni mnaishia kudandiana tu
 
Njoo pm mtu wangu tunaroga wanawake online, Tunapiga limbwata kwa njia ya wasapu na youtube.

Kazi ni kwako tu mtu wangu no more tears.
Mhhh!! Labda kweli,nitakucheki ASAP.
 
Kuna watu anawaamini na kuwategemea kiushauri,jaribu kuwatafuta na kuongea nao labda watakusaidia,maana hili suala peke yako hutoliweza so fanya hvyo mkuu.
 
Back
Top Bottom