Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

You are fighting a loosing battle amigo.demu wa dizaini hyo sio wakupigania au kupoteza muda wako kumrudisha kundini.hata mkirudiana atakuja kukusumbua baadae.kama mtihani mdogo tu wa kuwepo chuoni amefeli akabadili tabia.mitihani mengine migumu ya maisha ataiweza?.trust me naongea kama mtu nliepitia matatizo kama yako,Achana na huyo demu,wananawake wazuri na wenye maadili wako kibao tafuta dem mwengine na u move on.Ila kama bado unataka magonjwa ya moyo na kupoteza muda endelea kumfaitia huyo binti nkuruzinza
 
Kosa kubwa ni KUMPENDA SANA...
Mwanamke mwenye upendo wa kweli ni MAMA YAKO TU
 
Mkuu ndio kwanza kamaliza mwaka wa pili,ina maana ana miaka mingine miwili mbele.Kumvumilia mpaka amalize ni muda mwingi sana.Natamani niwe naye wakati bado anasoma.
Rudia tena ushauri wangu... Kuna angalizo ila kama una moyo wa chuma cha pua endelea kuotea moto.
 
Wewe Chachu Ombara kitu nimegundua hapa unaonekana upo seriuos kabisa na huyo mchuchu, unachotaka ni kushauriwa namna ya kum-win back... smh! utaumia

Mambo mengine tunaona aibu hata kusimulia, ila mwenzio nishasomesha mtu chuo na huduma zote kwa mamilioni mengi sana na bado nikaingizwa mkenge hata kabla hajamaliza! tena nilichapiwa na kamwanafunzi kenzie. Nilifanya fujo balaa katika kutuliza hasira zangu hatimaye hasira zikaisha.

Hivi sasa nadeal na magumegume menzangu na am a 'happy man' hadi hapo nitakapooa maana umri unasonga balaa. Hao watoto wa vyuo sikuizi ni kuwanunua tu kama vicheche usiwekeze sana lazima ulie tu. Na kwa kweli tunawaburuza haswa!!
 
Last edited by a moderator:
chachu ombara umehadimika kwenye lile jukwaa pendwa...ebu ukuje fasta tukutoe stress za mnyarwanda doh..
 
Umefanya kosa la kutaja jina la huyo manzi humu,bahati nzuri namfahamu na nimewahi kumtafuna kipindi kamaliza form 4..acha kumdhalilisha hata kama kakutenda.
 
Pole mkuu, tatizo langu ni moja...Nikipenda basi huwa napenda kweli na hata mambo yakiwa mabaya huwa sikubali mapema kuwa imeshindikana. Nadhani alitumia udhaifu huo kuniumiza. Ukweli bado nampenda.
 
chachu ombara umehadimika kwenye lile jukwaa pendwa...ebu ukuje fasta tukutoe stress za mnyarwanda doh..
Aisee si unajua mwezi mtukufu lazma niadimike. Ila nitarudi maana ndio nyumbani.
 
Umefanya kosa la kutaja jina la huyo manzi humu,bahati nzuri namfahamu na nimewahi kumtafuna kipindi kamaliza form 4..acha kumdhalilisha hata kama kakutenda.

So what! Kwani jina lina ubaya gani? Labda ulimtafuna mwingine lakini huyu niliyemtaja.
 
Back
Top Bottom