Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,163
- 11,230
- Thread starter
- #41
kaka hapo umeliwa msipende kulea watoto wa kike ulitakiwa umpige mimba kabla hajafika mwaka wa pili sasa umemwachia mabitozi ona sasa wanavyogonga ngozi na wewe unabaki kulia lia hapa jf hahahahaaha kweli mapenzi kizunguzungu
Mkuu sikutaka kuingilia masomo yake,nilitaka awe poa mpaka akimaliza ndio mambo mengine yafuate. Suala la mabitozi sijui wamenizidi wapi kete,labda wanasoma wote na muda mwingi wako wote ndio maana.
- Alafu silii hovyo JF,nimekuja kuomba ushauri nijue hatma ya penzi langu kwake.