Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

Mpenzi wangu amenitenda baada ya kujiunga chuo

Mpe wanachompa wenzako hao matozi....
1- mmpe pesa ya kutosha
2- mpe usafiri wa kueleweka
3- mpangie nyumba masaki
4- usisahau kumla kalio maana wanachuo ndio kitu wanapenda wanasema ni "kinga asilia ya kuzuia mimba mashuleni"

mhh no 4 siyo ushaur mzuri weweee:banghead:
 
Katafute pesa ukienda chuo umepaki V8 pale utamrudisha tu usilie lie sana kajipange
 
Kubali matokeo! Amepata mtu wa kumhandle vizuri zaidi yako! Kama wewe ulikuwa unatuma ishirini kuna anayetuma LAKI mbili sasa kwa ajili ya pady tu! Mjini ni pesa, mapenzi peleka BK! Sio wewe tu hata mie yalishanikuta!
 
Unanicheka nini sasa, ujue mwenzio namaanisha wala sio sababu ya kalio lake,makalio yapo mengi lakini kwake mwisho wa reli.

Alafu nna mzigo wako sema nakosa jinsi ya kukutumia,ukipata mtu anakuja huko utanistua.

Nipe mm mkuu nina safari ya huko in 3 days time
 
Mie nakushauri achana naye Bora amekuonesha makucha yake mapema hiyo ndo tabia yake hafai kuwa mke mwema. Utampata mke mzuri zaidi ya huyo.
 
Posa tena wakati bado sijawasiliana vyema na mhusika,alafu posa yao ndefu maana ni jamii ya wafugaji hivyo lazma kwanza mambo yakae sawa.
Basi hutojua mustakabali wa mapenzi yenu na utabaki hivyo hivyo maana hiyo ndio njia ya kujua nini kinachoendelea.Wavuvi wazuri wanakwambia kuwa usiogope ukubwa wa Samaki bali uliza bei tu
 
Kwenye ishu za mapenzi hakunaga maamuzi sahihi wala maamuzi yasiyo sahihi. Lakini bado maamuzi yanabaki kati ya wapenzi wawili.
Sisi tusiovaa viatu vya mahusiano yenu tutaongea vile tunavyodhani kwa kuangalia uhusiano wetu kwako au kwa mwenza wako au kwenu.
Jua unachokihitaji maishani mwako kwenye upande wa mahusiano ya kimapenzi. Kisimamie ukipate!

Asante sana mkuu kwa ushauri.
 
Mkuu km amekuja kusoma huku Dsm, naomba fanya mengine, huku DSM ushamtoa sadaka huyo!

Mkuu mbona wengine hawatolewi sadaka? Wanafanyaje fanyaje na mimi nitumie ujanja huo?
 
mambo ya first love..mpende Mungu wako kwanza, hawa baadae, wapo tuu..mwenzako ndio kashaanza kuonja utamu wa maisha ya chuo
Dahh! Unajua inakuwa ngumu kuacha aende maana ukweli nampenda sana. Najua kuna maisha baada ya chuo ila sitaki akishamaliza chuo ndio anitafute,nataka niwe naye akiwa bado chuoni.
 
Labda una swaga za kizee ndo mana ame Ku dump akamtafta wa type yake. Hata akikubalia murudie anakudaganya wewe utabaki kuwa mshika pembe wenzio wanakamua maziwa.
Sina swaga za kizee wala sio bishoo,nipo neutral. Kuhusu kuwa JOMBI hilo haliepukiki kwa wadada wa Tanzania maana hata waume za watu wajombi.Hata wewe hapo ulipo kuna mtu umemfanya Jombi.
 
Mie nakushauri uachane naye ,Najua unampenda na itakuumiza sana, lakini utapata faraja ,achana naye usije ukafa siku si zako!
Asante sana, hilo suala la kumuacha kwa sasa bado sijakubaliana nalo,labda mpaka hapo baadaye sana.
 
Kubali matokeo! Amepata mtu wa kumhandle vizuri zaidi yako! Kama wewe ulikuwa unatuma ishirini kuna anayetuma LAKI mbili sasa kwa ajili ya pady tu! Mjini ni pesa, mapenzi peleka BK! Sio wewe tu hata mie yalishanikuta!
Dah mkuu kweli unayosema kuwa mapenzi ni pesa lakini wadada wanatofautiana. Ila nitakata tamaa baada ya kuhangaika sana kwa sasa bado najipa moyo.
 
Back
Top Bottom