Wadau salaam,
Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute.
Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa ataniambia vingine.
Nifanyeje wadau