Mpenzi wangu ameathirika, je nimeambukizwa?

Ule msitari alioimba roma wa "kuna watoto wa mama salma vyuoni msicheze peku" nadhani ukinisaidia kutopenda penda mademu kwa chuo. Yote tunaomba uwe salama baharia mwenzetu na liwe somo kwako.

Mwanangu mm itabd njia ya IFM kwenda job nichange kwamaan ninakaugonjwa cha kuwala san madem wa chuo alaf warahis san
 
Mkuu,kama alikuwa anapiga dozi..ondoa was wasi,uko salama.

Nenda kapime ukiwa kifua mbele.
 
Ukimwi mnaouvarate sana. HIV ya sasa mpaka igeuke UKIMWI ianze kukusumbua wewe ni mzee unless uanze panik na maisha ya woga.

Moja Usipaniki, pili usihofu tatu huyo mwanamke anahitaji msaada kisaikolojia kuliko kumshambulia, jiridhishe kuwa mimba ni yako kwanza na achana na mawazo ya kutoa mimba. Mbeleni utafurahi mwenyewe kuliko ukichukua njia ya kuitoa hiyo mimba.

Ushauri:
Jifunze kuheshimu wanaume wenzio, mwanamke kama ana pete na unajua kachumbiwa usiweke kambi, kama ni lazima sana kuzini nae, timiza haja zako kisha achana naye, utaishi kwa amani sana.
 
Asante kwa ushauri kaka, ngoja nichanganye na zangu
 
Poa, usisahau HIV si ishu ya wewe kuogopa, iwe unayo au huna. Soma stage za HIV na muda mpaka kubadilika kuwa UKIMWI. Ni moja ya virusi dhaifu mno sema vina biashara nzuri sana hivyo marketing yake kuwa ni virusi hatari ipo juu sababu ya pesa.
 
Naomba nitoe specifications za huyu mwanamke japo kwa uchache.

She's White ila sio sana, mrefu kwa kiasi chake, ana shape isio ya kukinai, dimpoz, shingo ya kukatikakatika (sijui kama nimepatia), macho yake nashindwa kuyaspecify, and the like but in short she's very very cute. Huchoki ukiwa unamtazama.

Huyu mwanamke ni moja ya wanawake ambao wana sifa zote za kuitwa pisi kali tena grade one [ ila kwa sababu ana umeme inabidi nimweke kwenye Grade Z] , ni mwanamke ambae aliumbwa akaumbika kila idara. Ni mwanamke ambae kama asingetokea kunielewa mwenyewe nisingeweza kuthubutu hata kumbwambia kuwa nampenda na nahitaji kuwa nae.

Ni mwanamke ambae akipita popote lazima wanaume waweweseke kwa kugeuza shingo na kuomba namba au kutafuta connection ya kumpata, nilipata sana tabu mwanzoni kipindi nipo nae maana nlihis ataanza kunicheat ila badae nlizoea ile hali na nikaona kama ina advantage maana tulikua tukiishiwa hela hizo contacts ndo alizokua anatumia kupata hela. Ni mwanamke ambae huez jutia kutuma hela huku ukijipa matumaini kuwa ipo siku utafanikisha lengo lako la kumpata ila mwisho wa siku isingewezekana kwa kipindi hicho nipo nae.

Ni mdada ambae nashangaa ni kwanini sio superstar sababu anawazidi masuperstars wengi wa kike apa bongo kwa uzuri kwenye kila idara, nais sijui ni kwa sababu sio mtu wa socal networks sana maana hata IG account yake ina picha moja tu.

Nakumbuka enzi hizo nipo nae nliwah kukumbana na wakati mgumu baada ya kutoka nae club usiku tukawa tumekaa karibu na meza ya Waziri fulani [sahv sio Waziri maana alitumbuliwa], alituma chawa wake kuja kumwomba huyu mwanadada kwa lengo la kujumuika nae meza moja wapate kinywaji na nikamruhusu badae yule Waziri akamwomba amsindikize Hotelini alipofikia halafu arudi ila nikamkataza na akakubali (alikua anantumia text kuniupdate kipindi yupo meza moja na huyo Waziri)

Nakumbuka Pia Aliekua RC wa huu mkoa (kashatumbuliwa pia) alivonipatia wakati mgumu enzi hizo na huyu mwanadada, ila sitoelezea maana ni stori ndefu kidogo

sifikiri kama kuna mwanaume yeyote ambae laiti angevaa viatu vyangu angeshindwa kufanya kama nlivofanya na kupelekea kunikuta haya yalonikuta. Ni basi tu kila mtu anachukulia kwa mtazamo wake, but at general perspective ni vigumu sana kwa mwanaume rijali kushindwa kufall kwa huyu mwanadada tena paspo kuwa na mawazo ya kutumia kinga kwenye sita kwa sita.

I pray nisijekuta kaniambukiza huo ugonjwa, i still do believe so🧎‍🧎‍

Niwashauri tu wanaume wenzangu tusiwaamini hawa wanawake, ni watu ambao itoshe tu kusema kwamba ni wasiri mno.

Mhhh sijui nikupe pole, sijui ni Hongera. Anyway kapime Ujue afya
 
Huyu Mwanamke alikua ni Ex wangu wa muda tu, ndo mpenzi wangu wa kwanza kipindi naanza chuo 2019, tupo mwaka mmoja wote.

Sikupata tabu sana kumpata maana alianza kuonesha dalili za kunipenda mwenyewe nikaona isiwe tabu japo tayari alikua na mchumba huko alikotoka na walishatambulishana kwa wazazi na pete ya uchumba pia alishavalishwa ila alikua anaitunza kwenye pochi, niliona sio tabu maana yupo mbali so hatokuwa na effect kwenye mapenzi yetu afu ukilinganisha ni pisi ya kwenda na alikua na vishawishi na mitego ambayo mwanaume yoyote kama angeweza kuiruka basi angeonekana kama sio rijali kwenye jamii.

Zaidi zaidi nilimkuta na bikra, kumbe Huyo Mchumba wake alimwambia wasishiriki tendo la ndoa mpaka watapofunga ndoa rasmi kanisani.

Huyo mchumba wake alikua ni Manager wa Hotel fulan kubwa pale Dar hivyo pesa kwetu haikuwa tatizo maana tulikua tukiishiwa hela anapiga tu simu moja muamala unathibitishwa on the spot.

Tuliachana kwa sababu alitaka kushika Mimba yangu namimi sikuwa tayari by the time so nikaona isiwe tabu nikaamua kumpiga chini though tulikua tunapendana sana maana tulikua tunaspend 24hrs tukiwa pamoja
(tulikua tunakaa room moja mpaka first year ilivoisha, ila tulivoanza second year nilitafuta room paspo kumwambia na nikawa sirespond calls wala texts zake)

Juzi tulivoanza mitihani ya chuo ya kumaliza second semester Mwaka wa Pili akaanza kunisumbua kuwa mara amenimiss, mara anataka tusome wote amemiss nimfundishe kama nilivokua namfundisha zamani, mara kamiss show, basi nikasema isiwe tabu nikamwambia njoo kwangu [maana mpenzi wangu wa sasa anasoma chuo kingine so sikuona kama kuna shida,]

Ila kuhusu kurudiana asahau kabisa na aondoe akilini maana sahv nina mtu mwingine ila akakataa akasema yupo tayari kudate na mm hata kama nina mtu mwingine, nikamwambia poa ila iwe siri na asijethubutu kufanya interference yoyote.

So nilimkubalia japo kishingo upande sababu ni mwanamke ambae tulikua tunapendana sana way back, Naweza sema ndo ilikua couple bora ambayo watu walikuwa wana admire in the entire class.

Sasa basi,
Alikuja akastay kwangu kama Kawaida mpaka tulivomaliza mitihani na still akaendelea kukaa for almost two weeks kabla ya kwenda likizo, huku tukibinjuka usiku kucha.

Matatizo yanaanza.

Siku ya kwanza tu kaja tupo katkat ya game akaanza kunambia yupo kwenye siku zake sikumwongelesha zaidi tu tulipomaliza game nkamwambia kesho ameze P2 maana ninazo ndani akasema Hawezi, nikamwambia sawa hamna tatizo ila incase akishika Mimba tuitoe akakubali.

Sasa Juzi usiku akanipigia simu akanambia kuwa anajiskia vibaya as if yupo pregnant, nikamwambia akanunue kipimo tuhakikishe. Jana akanunua kipimo akanitumia majibu ya kipimo nkakuta kweli ana Mimba ila sikumjibu chochote mpaka sahv

Cha kusikitisha zaidi ni hiki nlichokikuta kwenye kabati leo ndo kmenisukuma kuandika huu uzi, it seems alisahau. Sijui ndo ntakua nmeukwaa au la...!!

My Take:
TRUST NO BODY

View attachment 1928927
Kimeumanaaa😍
 
Kama kuna mtu anahisi hizi ni hadithi za ngano na ngonjera naomba aendelee tu kuamini hivo wala siwezi kujisumbua kureply, ila namuombea sana yasijemkuta bali ayasikie tu kwa watu wakisimulia kama hivi
Samahani naomba nifahamu chuo usomacho!
 
Mapenzi ya kurudiana rudiana ndio yanakuwaga na mabalaa kama haya!
 
Naomba nitoe specifications za huyu mwanamke japo kwa uchache.

She's White ila sio sana, mrefu kwa kiasi chake, ana shape isio ya kukinai, dimpoz, shingo ya kukatikakatika (sijui kama nimepatia), macho yake nashindwa kuyaspecify, and the like but in short she's very very cute. Huchoki ukiwa unamtazama.

Huyu mwanamke ni moja ya wanawake ambao wana sifa zote za kuitwa pisi kali tena grade one [ ila kwa sababu ana umeme inabidi nimweke kwenye Grade Z] , ni mwanamke ambae aliumbwa akaumbika kila idara. Ni mwanamke ambae kama asingetokea kunielewa mwenyewe nisingeweza kuthubutu hata kumbwambia kuwa nampenda na nahitaji kuwa nae.

Ni mwanamke ambae akipita popote lazima wanaume waweweseke kwa kugeuza shingo na kuomba namba au kutafuta connection ya kumpata, nilipata sana tabu mwanzoni kipindi nipo nae maana nlihis ataanza kunicheat ila badae nlizoea ile hali na nikaona kama ina advantage maana tulikua tukiishiwa hela hizo contacts ndo alizokua anatumia kupata hela. Ni mwanamke ambae huez jutia kutuma hela huku ukijipa matumaini kuwa ipo siku utafanikisha lengo lako la kumpata ila mwisho wa siku isingewezekana kwa kipindi hicho nipo nae.

Ni mdada ambae nashangaa ni kwanini sio superstar sababu anawazidi masuperstars wengi wa kike apa bongo kwa uzuri kwenye kila idara, nais sijui ni kwa sababu sio mtu wa socal networks sana maana hata IG account yake ina picha moja tu.

Nakumbuka enzi hizo nipo nae nliwah kukumbana na wakati mgumu baada ya kutoka nae club usiku tukawa tumekaa karibu na meza ya Waziri fulani [sahv sio Waziri maana alitumbuliwa], alituma chawa wake kuja kumwomba huyu mwanadada kwa lengo la kujumuika nae meza moja wapate kinywaji na nikamruhusu badae yule Waziri akamwomba amsindikize Hotelini alipofikia halafu arudi ila nikamkataza na akakubali (alikua anantumia text kuniupdate kipindi yupo meza moja na huyo Waziri)

Nakumbuka Pia Aliekua RC wa huu mkoa (kashatumbuliwa pia) alivonipatia wakati mgumu enzi hizo na huyu mwanadada, ila sitoelezea maana ni stori ndefu kidogo

sifikiri kama kuna mwanaume yeyote ambae laiti angevaa viatu vyangu angeshindwa kufanya kama nlivofanya na kupelekea kunikuta haya yalonikuta. Ni basi tu kila mtu anachukulia kwa mtazamo wake, but at general perspective ni vigumu sana kwa mwanaume rijali kushindwa kufall kwa huyu mwanadada tena paspo kuwa na mawazo ya kutumia kinga kwenye sita kwa sita.

I pray nisijekuta kaniambukiza huo ugonjwa, i still do believe so🧎‍🧎‍

Niwashauri tu wanaume wenzangu tusiwaamini hawa wanawake, ni watu ambao itoshe tu kusema kwamba ni wasiri mno

It's unfortunate siwezi kutuma picha yake apa
Daah, maelezo yamekuwa mengi. Nenda kapime uje utupe ushuhuda hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom