Mpenzi wangu ameathirika, je nimeambukizwa?

Anakutisha tu mkuu kuwa na amani[emoji1786][emoji1786][emoji1786]
 
I also guess the same brow, maana juz alvokuja nimekuta nyeti zake zimebadilika sana[emoji42][emoji42] ila wadada wa chuo Mungu awasaidie tu maana nyeti zao zinatumika sana[emoji855]
Wakat nipo chuo nlikua sina interests sana na madem wa chuo, kutokana na nilokua nikisikia na kujionea. Jikaze siku kaijue afya yako, unaweza kuta ni -ve. ACHA KUISHI KWA MASHAKA!!
 
[emoji120][emoji120]
 
  • Thanks
Reactions: hnp
Wakat nipo chuo nlikua sina interests sana na madem wa chuo, kutokana na nilokua nikisikia na kujionea. Jikaze siku kaijue afya yako, unaweza kuta ni -ve. ACHA KUISHI KWA MASHAKA!!
Wewe km mimi.mkuu ilikua zile stories za watoto wa mama salma zilinijaa kichwani yaani ckuwa na mahusiano na demu wa chuo ilikua nachukua wa nje ya chuo.
 
  • Thanks
Reactions: hnp
Wewe km mimi.mkuu ilikua zile stories za watoto wa mama salma zilinijaa kichwani yaani ckuwa na mahusiano na demu wa chuo ilikua nachukua wa nje ya chuo.
Izo izo stories mi pia zikanfanya nideal na waloishia darasa 7 na form 4. Kuna kitu cha utofaut wanacho(wapo romantic mno,hawapo tayari kukupoteza) tofaut na wale wa vyuoni.
 
Darasa la 7[emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]
 
Izo izo stories mi pia zikanfanya nideal na waloishia darasa 7 na form 4. Kuna kitu cha utofaut wanacho(wapo romantic mno,hawapo tayari kukupoteza) tofaut na wale wa vyuoni.
Afu hawapendi luxury saana na pia wanakua waelewa kiasi kwamba wanaonesha kudhamini unachomwambia
 
Hakuna kitu mkuu
Ukimwi upo kwa damu haupo kwenye maji ya mchele
 
Izo izo stories mi pia zikanfanya nideal na waloishia darasa 7 na form 4. Kuna kitu cha utofaut wanacho(wapo romantic mno,hawapo tayari kukupoteza) tofaut na wale wa vyuoni.

Darasa la 7 na form 4...shukuru Mungu mkono wa sheria uliuepuka
 
Ulizoea sana mterezo aisee ,mwanamke ukiona anajilets sana kwako unapaswa ujiulize mara mbili mbili je ni kweli anania ya dhati ?? Haujachelewa unaweza kuanza kupima then ukatumia ,vidonge vya dharulala kwa miezi mitatu mfululizo halafu unapima tena ...tusiwaamini sana hawa wanawake

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom