Mume wangu kaniruhusu nitafute bwana nje anitosheleze

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,825
Habari Kaka George samahani naomba unisaidie ushauri. Nina mpenzi wangu tunapendana sana, ila kuna swala amenieleza ambalo imebidi nije kwako kukuomba ushauri. Mimi ni muaminifu sana kwenye mahusiano; sina tamaa maana chochote nitakachopewa kinanitosha kwa kuwa nina biashara yangu nafanya, hivyo huwa naridhika.

Sasa yeye kanipigia simu na kunieleza kwamba anataka nimpe changamoto ya kimapenzi na kifedha kwa mimi kutafuta mwanaume mwingine ili aumie na apate changamoto ya yeye kuongeza bidii ya kutafuta hela na kuboresha upendo kwa sababu nitakuwa nimempatia mpinzani. Akaeleza pia hata kama akijua, hatoniacha, pia ni-base kwa huyo mwanaume mazima na baada ya muda matunda ya hicho nitakachotenda nitayaona.

Sasa sielewi nifanye nini maana kasisitiza, na hata nilipomueleza kwamba siwezi, akaeleza kwamba nisipofanya hivyo basi nikiona hana mabadiliko yoyote ya kuboresha upendo nisishangae, kakaangu naomba ushauri. Ni kwamba ananijaribu? Maana ashawahi kunijaribu kwa kumtuma mtu anitongoze, ila mtego wake ukafeli. Sasa nifanye nini kaka?

Naomba usnaidieieie kmaana nahisi kucghanganuyikiwa. Mimi ni binti wa iaak 29, sijaoelwa lina nina mchumba wangu amabye tyuko anye wkeney mahsuiano miaka miwili na ashajitambulisha kwetu kila kitu mpaka kutoa mahari uingawa suala la ndao tulikua bado hatujaapanga.
 
kermit.gif

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Leo umekumbuka kusema umeombwa ushauri? Umezoeleka kutiririka, joji kama joji .
 
Kakuchoka,

anataka apate ushahidi wa kukufumania live ili ndoa ivunjwe kwa ushahidi unaoridhisha usio na mashaka
 
Pumbafu huyo anataka 3some ujue na ukijikoki tu ukamkubalia atakuja yule ambaye amemtuma

Anataka 3some na si muoaji

Harafu Ondoa neno mume wako kakuambia wakati ni hawala yako tu
 
Habari Kaka George samahani naomba unisaidie ushauri. Nina mpenzi wangu tunapendana sana, ila kuna swala amenieleza ambalo imebidi nije kwako kukuomba ushauri. Mimi ni muaminifu sana kwenye mahusiano; sina tamaa maana chochote nitakachopewa kinanitosha kwa kuwa nina biashara yangu nafanya, hivyo huwa naridhika.

Sasa yeye kanipigia simu na kunieleza kwamba anataka nimpe changamoto ya kimapenzi na kifedha kwa mimi kutafuta mwanaume mwingine ili aumie na apate changamoto ya yeye kuongeza bidii ya kutafuta hela na kuboresha upendo kwa sababu nitakuwa nimempatia mpinzani. Akaeleza pia hata kama akijua, hatoniacha, pia ni-base kwa huyo mwanaume mazima na baada ya muda matunda ya hicho nitakachotenda nitayaona.

Sasa sielewi nifanye nini maana kasisitiza, na hata nilipomueleza kwamba siwezi, akaeleza kwamba nisipofanya hivyo basi nikiona hana mabadiliko yoyote ya kuboresha upendo nisishangae, kakaangu naomba ushauri. Ni kwamba ananijaribu? Maana ashawahi kunijaribu kwa kumtuma mtu anitongoze, ila mtego wake ukafeli. Sasa nifanye nini kaka?

Naomba usnaidieieie kmaana nahisi kucghanganuyikiwa. Mimi ni binti wa iaak 29, sijaoelwa lina nina mchumba wangu amabye tyuko anye wkeney mahsuiano miaka miwili na ashajitambulisha kwetu kila kitu mpaka kutoa mahari uingawa suala la ndao tulikua bado hatujaapanga.
Mbona muandiko wa kiume huu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom