Mpenzi wangu ameathirika, je nimeambukizwa?

Nimeona apo kwenye mahudhurio hamna siku amekosa, it's a relief in some way [emoji120][emoji120]
Amini uko poa mkuu, muite uzungumze naye kuhusu hilo jambo.

Kumbuka kuna couples mmoja + mwingine - unadhani wanaishije kama si dawa hizo ndo zinasaidia
 
Huyu Mwanamke alikua ni Ex wangu wa muda tu, ndo mpenzi wangu wa kwanza kipindi naanza chuo 2019, tupo mwaka mmoja wote.

Sikupata tabu sana kumpata maana alianza kuonesha dalili za kunipenda mwenyewe nikaona isiwe tabu japo tayari alikua na mchumba huko alikotoka na walishatambulishana kwa wazazi na pete ya uchumba pia alishavalishwa ila alikua anaitunza kwenye pochi, niliona sio tabu maana yupo mbali so hatokuwa na effect kwenye mapenzi yetu afu ukilinganisha ni pisi ya kwenda na alikua na vishawishi na mitego ambayo mwanaume yoyote kama angeweza kuiruka basi angeonekana kama sio rijali kwenye jamii.

Zaidi zaidi nilimkuta na bikra, kumbe Huyo Mchumba wake alimwambia wasishiriki tendo la ndoa mpaka watapofunga ndoa rasmi kanisani.

Huyo mchumba wake alikua ni Manager wa Hotel fulan kubwa pale Dar hivyo pesa kwetu haikuwa tatizo maana tulikua tukiishiwa hela anapiga tu simu moja muamala unathibitishwa on the spot.

Tuliachana kwa sababu alitaka kushika Mimba yangu namimi sikuwa tayari by the time so nikaona isiwe tabu nikaamua kumpiga chini though tulikua tunapendana sana maana tulikua tunaspend 24hrs tukiwa pamoja
(tulikua tunakaa room moja mpaka first year ilivoisha, ila tulivoanza second year nilitafuta room paspo kumwambia na nikawa sirespond calls wala texts zake[emoji706])

Juzi tulivoanza mitihani ya chuo ya kumaliza second semester Mwaka wa Pili akaanza kunisumbua kuwa mara amenimiss, mara anataka tusome wote amemiss nimfundishe kama nilivokua namfundisha zamani, mara kamiss show, basi nikasema isiwe tabu nikamwambia njoo kwangu [maana mpenzi wangu wa sasa anasoma chuo kingine so sikuona kama kuna shida,] ila kuhusu kurudiana asahau kabisa na aondoe akilini maana sahv nina mtu mwingine ila akakataa akasema yupo tayari kudate na mm hata kama nina mtu mwingine, nikamwambia poa ila iwe siri na asijethubutu kufanya interference yoyote.

So nilimkubalia japo kishingo upande sababu ni mwanamke ambae tulikua tunapendana sana way back, Naweza sema ndo ilikua couple bora ambayo watu walikuwa wana admire in the entire class.

Sasa basi,
Alikuja akastay kwangu kama Kawaida mpaka tulivomaliza mitihani na still akaendelea kukaa for almost two weeks kabla ya kwenda likizo, huku tukibinjuka usiku kucha.

Matatizo yanaanza.[emoji174]

Siku ya kwanza tu kaja tupo katkat ya game akaanza kunambia yupo kwenye siku zake[emoji174] sikumwongelesha zaidi tu tulipomaliza game nkamwambia kesho ameze P2 maana ninazo ndani akasema Hawezi, nikamwambia sawa hamna tatizo ila incase akishika Mimba tuitoe akakubali.

Sasa Juzi usiku akanipigia simu akanambia kuwa anajiskia vibaya as if yupo pregnant, nikamwambia akanunue kipimo tuhakikishe. Jana akanunua kipimo akanitumia majibu ya kipimo nkakuta kweli ana Mimba ila sikumjibu chochote mpaka sahv

Cha kusikitisha zaidi ni hiki nlichokikuta kwenye kabati leo ndo kmenisukuma kuandika huu uzi, it seems alisahau. Sijui ndo ntakua nmeukwaa au la...!! [emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji24][emoji24][emoji24]

My Take:
TRUST NO BODY[emoji174][emoji174][emoji706][emoji706]

View attachment 1928364View attachment 1928363View attachment 1928365View attachment 1928366
Acha kupaniki, ulishawahi kula ndogo yake aka tigo aka nyoro laini? Ukijibu nitakuambia kitu
 
Amini uko poa mkuu, muite uzungumze naye kuhusu hilo jambo.

Kumbuka kuna couples mmoja + mwingine - unadhani wanaishije kama si dawa hizo ndo zinasaidia
Duuh.. [emoji848]
Kuhusu kumuita kwa kweli apana, Yan apa napanga kumblock kila sehemu maana kuendelea kuwasiliana nae au kumwona kwa sahv nais tutafikishana pabaya[emoji174][emoji706]
 
Kama kuna mtu anahisi hizi ni hadithi za ngano na ngonjera naomba aendelee tu kuamini hivo wala siwezi kujisumbua kureply, ila namuombea sana yasijemkuta bali ayasikie tu kwa watu wakisimulia kama hivi[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Huyu Mwanamke alikua ni Ex wangu wa muda tu, ndo mpenzi wangu wa kwanza kipindi naanza chuo 2019, tupo mwaka mmoja wote.

Sikupata tabu sana kumpata maana alianza kuonesha dalili za kunipenda mwenyewe nikaona isiwe tabu japo tayari alikua na mchumba huko alikotoka na walishatambulishana kwa wazazi na pete ya uchumba pia alishavalishwa ila alikua anaitunza kwenye pochi, niliona sio tabu maana yupo mbali so hatokuwa na effect kwenye mapenzi yetu afu ukilinganisha ni pisi ya kwenda na alikua na vishawishi na mitego ambayo mwanaume yoyote kama angeweza kuiruka basi angeonekana kama sio rijali kwenye jamii.

Zaidi zaidi nilimkuta na bikra, kumbe Huyo Mchumba wake alimwambia wasishiriki tendo la ndoa mpaka watapofunga ndoa rasmi kanisani.

Huyo mchumba wake alikua ni Manager wa Hotel fulan kubwa pale Dar hivyo pesa kwetu haikuwa tatizo maana tulikua tukiishiwa hela anapiga tu simu moja muamala unathibitishwa on the spot.

Tuliachana kwa sababu alitaka kushika Mimba yangu namimi sikuwa tayari by the time so nikaona isiwe tabu nikaamua kumpiga chini though tulikua tunapendana sana maana tulikua tunaspend 24hrs tukiwa pamoja
(tulikua tunakaa room moja mpaka first year ilivoisha, ila tulivoanza second year nilitafuta room paspo kumwambia na nikawa sirespond calls wala texts zake[emoji706])

Juzi tulivoanza mitihani ya chuo ya kumaliza second semester Mwaka wa Pili akaanza kunisumbua kuwa mara amenimiss, mara anataka tusome wote amemiss nimfundishe kama nilivokua namfundisha zamani, mara kamiss show, basi nikasema isiwe tabu nikamwambia njoo kwangu [maana mpenzi wangu wa sasa anasoma chuo kingine so sikuona kama kuna shida,] ila kuhusu kurudiana asahau kabisa na aondoe akilini maana sahv nina mtu mwingine ila akakataa akasema yupo tayari kudate na mm hata kama nina mtu mwingine, nikamwambia poa ila iwe siri na asijethubutu kufanya interference yoyote.

So nilimkubalia japo kishingo upande sababu ni mwanamke ambae tulikua tunapendana sana way back, Naweza sema ndo ilikua couple bora ambayo watu walikuwa wana admire in the entire class.

Sasa basi,
Alikuja akastay kwangu kama Kawaida mpaka tulivomaliza mitihani na still akaendelea kukaa for almost two weeks kabla ya kwenda likizo, huku tukibinjuka usiku kucha.

Matatizo yanaanza.[emoji174]

Siku ya kwanza tu kaja tupo katkat ya game akaanza kunambia yupo kwenye siku zake[emoji174] sikumwongelesha zaidi tu tulipomaliza game nkamwambia kesho ameze P2 maana ninazo ndani akasema Hawezi, nikamwambia sawa hamna tatizo ila incase akishika Mimba tuitoe akakubali.

Sasa Juzi usiku akanipigia simu akanambia kuwa anajiskia vibaya as if yupo pregnant, nikamwambia akanunue kipimo tuhakikishe. Jana akanunua kipimo akanitumia majibu ya kipimo nkakuta kweli ana Mimba ila sikumjibu chochote mpaka sahv

Cha kusikitisha zaidi ni hiki nlichokikuta kwenye kabati leo ndo kmenisukuma kuandika huu uzi, it seems alisahau. Sijui ndo ntakua nmeukwaa au la...!! [emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji24][emoji24][emoji24]

My Take:
TRUST NO BODY[emoji174][emoji174][emoji706][emoji706]

View attachment 1928364View attachment 1928363View attachment 1928365View attachment 1928366
Kwa hiyo hakuwa bikira, na Manager wa Hotel alikuwa anafanya vitu vyake pamoja na wachangiaji wengine pamoja na wakufunzi na hao ma sinia walikuwa wanatumia zana ila wewe uliona pissi kali haina doa
 
Ni tamaa za kibinaadamu tu
Alikuwa mchumba wa mtu na pete ya ndoa
Ila ukaamua kupiga tu kwa kuwa jamaa yuko mbali
Baadae ikawa mapenzi ya uongo ukaenda kudanganya penzi kwingine
Uandishi wako mzuri sana na unafundisha vijana jinsi ya kuepeka wachumba wa watu

Hata kama ukipata maradhi ni njia uliyopita na ikawa kwa hiyo uwe mpole tu na ubebe mzigo na mwanao pia
 
Rejea kusoma apo juu, nilimkuta na bikra mkuu na kipindi nipo nae sikuwah mhisi anachepuka maana nlikua nakaa nae 24 hrs na hata mchana tulikua tunafuatana kama kumbikumbi
 
Ni tamaa za kibinaadamu tu
Alikuwa mchumba wa mtu na pete ya ndoa
Ila ukaamua kupiga tu kwa kuwa jamaa yuko mbali
Baadae ikawa mapenzi ya uongo ukaenda kudanganya penzi kwingine
Uandishi wako mzuri sana na unafundisha vijana jinsi ya kuepeka wachumba wa watu

Hata kama ukipata maradhi ni njia uliyopita na ikawa kwa hiyo uwe mpole tu na ubebe mzigo na mwanao pia
[emoji849]
 
Back
Top Bottom