Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

Alikua anakuelewa na ulishasoma udhaifu wake. Kuna wanawake pombe inaongeza ashki na haichagui nani wa kumpatia akishalewa.
Huyo gf wa mtoa uzi inaonekana anapenda kunywa ila mtoa uzi anambania. Laiti angejua raha ya kunywa na kuduu mtoa uzi angemuacha bibie ajilewee ila wakiwa wote kama hapendi anywe mbali nae.
Na huyo anaonekana hawezi kucontrol pombe ndo maana anatoa sababu za kijinga kwanini amekunywa. Hao wafanyakazi wenzie na boss itakua wanajipigia maskini akishapiga chupa kadhaa ndo maana wanamshawishi na yeye bila kujua anakubali.
 
Wanapendaga kujidanganya kweli. Nina rafiki alikua anakunywa akilewa yeyote twendee. Kama tusipomlinda tunaweza kushtukia ameshaliwa. Akaamua kuacha pombe. Aiseee. Naona bora alivyokua anakunywa alikua anapata kidogo muda wa kukaa na kupiga story na watu. Sasa hivi ndo kama genye zimekua plus plus. Anaweza toroka kazini mchana akanyanduane. Usiku ni lazima anyanduane. Yani anaweza akafanya hata mara 5 kwa siku na bado anakwambia anataka tu. Wakati anakunywa akishalewa tukimlinda anarudi home analala. Sasa hivi genye zake zimekua mbaya kabisa.
Ambao hawanywi ndo hawaliwi
 
Delete app download tena. Si inakupa sent item na inbox?
Jamani nikiingia inbox naambiwa no private messages wakati icon ya SMS inaonyesha kuna message zimeingia. Tatizo laweza kuwa nini,mana nashindwa hata kuona hzo sms
 
Anaonekana anaweza kujinunulia shida ni hao anaokunywa nao sasa. Na jamaa inaonekana hataki pombe kabisa hata ya kunywea ndani.
Sasa kama bwana ake hataki anywee pombe kama huyu na wewe unataka mkalewe woteee...Wee lazima agongekee hata kwa bia mbilii..![emoji3][emoji3][emoji3]Ukimnunulia amarula ndo kabisaaaa....
 

Namba zake, tafadhali. Fanya fasta....🤣🤣
 
goog confession! Mi kukuruhusu unywe pombe naangalia uwezo wako kuimudu tu,na limit ya ukae hadi sa ngapi ,kama sikidhi mahitaji ya ngono na pesa ,utaliwa tuu
 
Umeshatoa msimamo wako kwamba tayari unamchukia hapa ata ukipewa ushauri hauwezi kuufanyia kazi...
Zaidi zaidi unataka tukufariji.kama unampenda kweli muone haraka sana kabla hajawa konkodi wa pombe anakushindaje akili mwanamke??


Mwanaume ukikosea kuoa unakufa mapema
Mwanamke akikosea kuolewa anaishi kwa tabu.
 
Thats what am saying yani hapo kupigiwa ni 100000%
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ana pepo la ngonoo huyoo
 
Anaishi na mwanaume huyo rafiki yako anayelewa wa yeyote twende baada ya kulewa?
 
kwani pombe ina tatizo? Anyways Pombe haikuumbwa kwa ajili ya mwanamke, akianza kutumia tu basi kawa mwanaume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…