kuwa boss tabu sana kashapewa lawama hapoMara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad
Basi sawaNdiyo.
Niaje mkuu??
Mzigua kwani unakunywa??
Hapana wewe ndo umepotea ka shilingi ya Nyerere bwanaHayo maneno tu lakini ukweli ni kwamba umenitengaaaa
Acha kuzunguka mkuu na kuhalalisha mabalaa, demu akishaanza pombe tu hafai. awe mnywaji awe mlevi wote wanakuwa rahisi tu kuliwa
Fresh tu mzee naona unatupia neno hapo kwenye suala zima la nganoKwema habari gani
Haya acha nikubali tu!Hapana wewe ndo umepotea ka shilingi ya Nyerere bwana
Kashaliwa tayari, mwanamke akisha kunywa pombe huwa hazingui kwenye kutoa gemMimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi..
Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema mfanyakazi mwenzake basi mi sikusema kitu zaidi ya kumuuliza tu unajisikiaje.
Mara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad.
Mara ya 3 ndo leo nimetoka zangu job nafika tu home mtoto ananipigia simu kalewa yuko njwaaaa..! hata kuongea anashindwa kumuuliza nini anasema kapiga chupa 2 za bia na amelewa balaa nikamuuliza kwa nini umekunywa akasema ana mawazo ya maisha.. na mi navyojua mambo yake yanaenda sawa kabisa binafsi mimi ni mlokole na nilishamwambia sipendi hiyo tabia ya kunywa yani mpaka hapa nishaanza kumchukia kabisa..toka mara ya pili..
Ushauri tafadhali wanaume wenzangu...! i wish to leave her serious.
JF Kuna wanaume wanafiki sijapata ona,
HV humu ndani wote wake zenu hawanywi pombe kweli? Mfyuuuuuu zenu,
Humu hakuna wanawake wanywaji na wameolewa?
Huyu mtoa mada yeye kama hataki mnywa pombe , Basi atafute mwingine asiyekunywa,
ila sio muanze kutoa kashfa kwa wanawake, wanywaji wakati mnaishi nao ndani na mnakunywa pamoja na kufurahia maisha,
Yaani huu ndio ukweli mzaaeeeKashaliwa tayari, mwanamke akisha kunywa pombe huwa hazingui kwenye kutoa gem
Mpeleke kwa kiongozi wako wa dini
Eti anaekunywa malaya. Basi kuna wenzao wanawapenda hao malaya.
eti eeh
Haya acha nikubali tu!
[emoji115] jibu saahihiKapata mwanaume mwingine ndio kamshawishi kunywa pombe. Full bata batani
Naomba namba yake mkuu, kama bia mbili analewa huyo hana gharama, nipatie tuu namba zakekuwa boss tabu sana kashapewa lawama hapo
[emoji115] hilo ndio jibuJua tu kua hakuna mwanamke mlevi mwenye bwana mmoja