Achana na mwanamke mlevi/mnywaji. Wengi wa wanaokunywa na kulewa hata kulea watoto wao tu hawawezi, let her go!!!
[emoji23][emoji23][emoji39]kumbe umesema wengi
Kumbe
Zinaa rukhsa hapo sasa
Nakusihi tena nakusihi, achana nae hafai tena huyoMimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi..
Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema mfanyakazi mwenzake basi mi sikusema kitu zaidi ya kumuuliza tu unajisikiaje.
Mara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad.
Mara ya 3 ndo leo nimetoka zangu job nafika tu home mtoto ananipigia simu kalewa yuko njwaaaa..! hata kuongea anashindwa kumuuliza nini anasema kapiga chupa 2 za bia na amelewa balaa nikamuuliza kwa nini umekunywa akasema ana mawazo ya maisha.. na mi navyojua mambo yake yanaenda sawa kabisa binafsi mimi ni mlokole na nilishamwambia sipendi hiyo tabia ya kunywa yani mpaka hapa nishaanza kumchukia kabisa..toka mara ya pili..
Ushauri tafadhali wanaume wenzangu...! i wish to leave her serious.
Niaje mkuu??Kuna jamaa yangu yeye ni mlevi ananiambia anawala sana huko ma club,
NimetengwaaaaaaaAtakuwa anashawishiwa na mwanaume wake
Shubamit umeachwa tayari wewe naacha kudate na vijibinti eti anakupigia simu kalewa.Mimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi..
Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema mfanyakazi mwenzake basi mi sikusema kitu zaidi ya kumuuliza tu unajisikiaje.
Mara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad.
Mara ya 3 ndo leo nimetoka zangu job nafika tu home mtoto ananipigia simu kalewa yuko njwaaaa..! hata kuongea anashindwa kumuuliza nini anasema kapiga chupa 2 za bia na amelewa balaa nikamuuliza kwa nini umekunywa akasema ana mawazo ya maisha.. na mi navyojua mambo yake yanaenda sawa kabisa binafsi mimi ni mlokole na nilishamwambia sipendi hiyo tabia ya kunywa yani mpaka hapa nishaanza kumchukia kabisa..toka mara ya pili..
Ushauri tafadhali wanaume wenzangu...! i wish to leave her serious.
Nimetengwaaaaaaa
Acha kuzunguka mkuu na kuhalalisha mabalaa, demu akishaanza pombe tu hafai. awe mnywaji awe mlevi wote wanakuwa rahisi tu kuliwaYaani hizi chips zipigwe marufuku yaani wanaume wamekuwa nyoro nyoro sana ,sasa ndo mambo ya kuanzi sha uzi haya ,hizi korosho zitabanguliwa kweli ? Mkuu mimi binafsi naangalia mwanamke yukoje nawajua wengi wanalewa na wanajiheshimu ,na najua kukaa na mwanamke mnywaji ila sio mlevi ,ila kwa wewe umesema ni mchumba afu amejifunza pombe bila ruksa yako hivi kahaba wa hovyo huyo unapeleka wapi,mkuu mungu ana njia nyingi za kujibu maombi moja ni mwanamke kufanya amuzi kubwa bila kukushirikisha mm nshawahi acha mwanamke kwa kosa la kuchora tatoo tu,kosea ujenzi usikosee kuoa
HahahahhahahahhahahhahahaMuache na starehe yake bana
Walokole mna nini lakini
Duu hapo nimeelewa na kujifunza kituHawa wenzetu wanaojifanya wanajua dini wanachaguaga dhambi na dhambi. Zingine kwao dhambi zingine sio dhambi. Kama kuzini sio dhambi ila pombe mama weeeeee. Ujue bora mtu aseme sababu nyingine ila sio dhambi. Kwetu RC tunakunywa pombe na mapadri hamna mtu anamnyooshea kkdole mwenzake. Ila ndo mambo ya imani. Mwingine dhambi kwake mwingine sio. Tatizo hawa watakatifu sana kama kwake dhambi basi anataka kila mtu aone ni dhambi
Hayo maneno tu lakini ukweli ni kwamba umenitengaaaaHapana sijakutenga mbona
Mzigua kwani unakunywa??Mkuu kuna mwenzio kamfundisha kunywa na atakua ni boss wake. Mwanamke akinywa pombe game inakua A+ na huwa anapenda kufanya na mtu anaempenda ndio maana hupendi anywe ila akilewa anakutafuta sababu anakupenda.
Lakini kwa kuwa kajifunza bila wewe na kajifunzia ukubwani atakusumbua huyo na inaonekana hupendi pombe.
Hao ndo wale bia mbili chalii mafisi wanabeba mzigo. Sasa ukute akinywa zinakimbilia chini utapigiwa mpaka akili ikukae sawa.
Bora ungemkuta kama kina mimi tayari tunakunywa unajua kabisa mwanamke wangu akinywa anakuwa na tabia hii na unajua umenifuata tayari ninakunywa.
Ushauri wa bure, wasiokunywa wapo pia mkuu usiutese moyo wako.
Ombi: Kama ambavyo hupendi pombe na zinaa uichukie hivyo hivyo.
Kweli??Pole mkuu. Mimi mwanamke anauekunywa pombe namsikitikia sana.
Japo kila mtu na maisha yake.
Kweli??