Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

Mkuu kuna mwenzio kamfundisha kunywa na atakua ni boss wake. Mwanamke akinywa pombe game inakua A+ na huwa anapenda kufanya na mtu anaempenda ndio maana hupendi anywe ila akilewa anakutafuta sababu anakupenda.
Lakini kwa kuwa kajifunza bila wewe na kajifunzia ukubwani atakusumbua huyo na inaonekana hupendi pombe.
Hao ndo wale bia mbili chalii mafisi wanabeba mzigo. Sasa ukute akinywa zinakimbilia chini utapigiwa mpaka akili ikukae sawa.
Bora ungemkuta kama kina mimi tayari tunakunywa unajua kabisa mwanamke wangu akinywa anakuwa na tabia hii na unajua umenifuata tayari ninakunywa.

Ushauri wa bure, wasiokunywa wapo pia mkuu usiutese moyo wako.

Ombi: Kama ambavyo hupendi pombe na zinaa uichukie hivyo hivyo.
 

Muwamba ngoma ??
Habari za asubuhi
 
Acha uchoyo mkuu kizuri kula na mwenzio,alafu kumbuka hainaga makombo zaidi anatumia pesa yake na ya bosi wake
 
Sifa ya mwanaume n maamuz magum
Sifa ya mwanaume n kufanya jambo lisilotabirika mda wowote sa yeyote
Sifa ya mwanaume n kuwa na kauli ndan ya nyumba

Mkuu heb acha uzembe kuwa na kauli hawa viumbe wanapenda tuwe waume zao na marafk zao ila tumia akili kuishi nao wanajisahau mnoo

Mi napenda sana kutumia makofi mda mwngne maana namreinstall setting zake fresh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 

= ghafla
= ladha
 
sikia kunywa bia sio tatizo bali anywe kwa limit na kqa uwazi bila ya kukuficha,jambo la muhimu ni kwako wewe usiwe dikteta,kama wewe hunywi mruhusu yeye anywe
 
Ana umri gani huyo anayelazimishwa kunywa bia na bosi? Keshaburuzwa huyo.
Hatari sana hawa viumbe " halafu bila hata haya kamwambia kuwa kafundishwa na boss wake ..Hahaa kuna Watu wanapitia magumu sana katika maisha yao ya mahusiano
 
Kuna jamaa yangu yeye ni mlevi ananiambia anawala sana huko ma club,
Ndio ukweli wenyew huo " ukitaka kumla mwanamke kiurahisi mpaka visivyo liwa basi mleweshe ", wahuni ndio huwa wanavyo tuambia hivi
 
Yani hapa sina mood kabisa nahisi penzi langu limeingia mchanga nko njia panda sana but anyway let me move on
Sio limeingia mchanga mkuu .. lina bakteria kabisa " na limeshaanza kunuka " ukicheza tu itakula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…