Mpenzi wako yuko hapa. Mtambue sasa hivi

Mpenzi wako yuko hapa. Mtambue sasa hivi

Mokoyo
Nakuonea huruma naona umechoka na maisha kama ni kujiua tafuta njia rahisi na isiyo na maumivu; kufa maji ni kifo kibaya sana; umezaliwa na kukulia Dodoma hata mto hakuna achlia mbali hilo ziwa; leo waingia Dar ES salaam wataka kuyaoga maji bahari tena yenye kina kweli unajipenda? Mamndenyi maji mazito yana kina cha minazi miwili huwezi kuyaoga; hapo panataka mvuvi mahiri na makini kama chama anayejua kushika pondo na kasia wewe chezea maji goti ufukweni hapo hupawezi muulize Bujibuji
chama asante kwa kugundua kuwa Bujibuji ndio kina chenyewe cha bahari
 
Last edited by a moderator:
Mimi naweza kuwatambua watoto wa Mulugo hapa JF.
Mfano wa uandishi wao ni.

wANaKEra.
Xana.

Mimi nilimtambua The Boss kwa LIKES anazonipa; hivyo naweza kubaliana na waliosema ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS, au hata waliosema MANENO HATA KWENYE KANGA YAPO.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenichekesha sana aisee, mimi mtaalamu bana nimezaliwa rocky city, mara ya kwanza kuogeshwa ilikuwa ziwa viktoria
Mokoyo
Umezoea vya kunyonga vya kuchinga huviwezi! Kama ulivila vya Nyamanoro vya Chambani vitakutapisha nyongo! Kumpata Mamndenyi lazima ujue pepo za kusi na kaskazi
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimefanikiwa kuwatambua wenzetu waliopata "Complimentaries" za Kuingia Disco la Vyuo Vikuu Tanzania.
 
Pamoja na kuwa mstaarabu kwa maandiko yng sijatafutwa katu
 
Back
Top Bottom