Mpenzi wako yuko hapa. Mtambue sasa hivi

Mpenzi wako yuko hapa. Mtambue sasa hivi

Duh! nadhani ni ngumu sana mkuu...

Mathalani, mimi watu8 niandikavyo hapa jamvini ni tofauti kabisa na nikiwa PM (waliowahi kuwasiliana nami huko wanaweza kuwa mashahidi)...vilevile ni tofauti na nikiwasiliana kwa SMS...

this one i can agree aii.....,
 
hahahaa tabu ipo km ulimgundua na ktk kumfuatilia ukakuta keshaharibu saaaanaaa.. patamu hapo..
wangu yupo hapa hapa ila hata id yake siijui na yeye haijui yangu.. na sitaki kuijua
 
hahahaa tabu ipo km ulimgundua na ktk kumfuatilia ukakuta keshaharibu saaaanaaa.. patamu hapo..
wangu yupo hapa hapa ila hata id yake siijui na yeye haijui yangu.. na sitaki kuijua

umeoonaeeee, utamtambua siku moja, hahahah
 
ningesema lakini kume anamchukua mshikaji mwingine hapahapa JF,nmeshtuka mimi ananipa promise fake
 
na najiepusha kumchunguza nisije kumjua buree.. pressure staki. acha ibaki km ilivyo nampenda bhaaasiii
ndio maana yake maana roho ikikung'oka unamwacha akiendelea kutafunwa mchana kweupeee
 
Ishiiii.... Kwani kuna madhambi yanafanyika humu hadi nijifiche ..

Wangu yumo na huwa nikiona post yenye kuvutia namwita kabisa .. So proud of him lolz.

No offense akiona nachofanya humu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Uh! dissapointed!
 
Nimefuata taratibu zote, nimeshamtaarifu CHAMA kuwa nawasiliana na wewe

Mokoyo
Nakuonea huruma naona umechoka na maisha kama ni kujiua tafuta njia rahisi na isiyo na maumivu; kufa maji ni kifo kibaya sana; umezaliwa na kukulia Dodoma hata mto hakuna achlia mbali hilo ziwa; leo waingia Dar ES salaam wataka kuyaoga maji bahari tena yenye kina kweli unajipenda? Mamndenyi maji mazito yana kina cha minazi miwili huwezi kuyaoga; hapo panataka mvuvi mahiri na makini kama chama anayejua kushika pondo na kasia wewe chezea maji goti ufukweni hapo hupawezi muulize Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Nimtambue mara ngapi wakati mi ndo niliitambulisha JF kwake na nikamsaidia hata kutengeneza ID yake?
 
Mamndenyi
Mokoyo hana viwango wala vigezo; maji mazito hayo yanataka mvuvi wa Chambani kama Chama; mimi namshauri asichoke kwenda Koko beach kucheza mchangani kule ataokoteza vidagaa vilivyopotea njia!
 
Mokoyo
Nakuonea huruma naona umechoka na maisha kama ni kujiua tafuta njia rahisi na isiyo na maumivu; kufa maji ni kifo kibaya sana; umezaliwa na kukulia Dodoma hata mto hakuna achlia mbali hilo ziwa; leo waingia Dar ES salaam wataka kuyaoga maji bahari tena yenye kina kweli unajipenda? Mamndenyi maji mazito yana kina cha minazi miwili huwezi kuyaoga; hapo panataka mvuvi mahiri na makini kama chama anayejua kushika pondo na kasia wewe chezea maji goti ufukweni hapo hupawezi muulize Bujibuji

Mamndenyi
Mokoyo hana viwango wala vigezo; maji mazito hayo yanataka mvuvi wa Chambani kama Chama; mimi namshauri asichoke kwenda Koko beach kucheza mchangani kule ataokoteza vidagaa vilivyopotea njia!
Mkuu umenichekesha sana aisee, mimi mtaalamu bana nimezaliwa rocky city, mara ya kwanza kuogeshwa ilikuwa ziwa viktoria
 
Back
Top Bottom