Mpenzi wako yuko hapa. Mtambue sasa hivi

Ishiiii.... Kwani kuna madhambi yanafanyika humu hadi nijifiche ..

Wangu yumo na huwa nikiona post yenye kuvutia namwita kabisa .. So proud of him lolz.

No offense akiona nachofanya humu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ila sasa husilete au yeye asilete yale maswahibu yanayowakabili chumbani
 
Back
Top Bottom