Mpenzi wako wa kwanza kabisa yuko wapi?

Sina neno ,ila ye ndo alikua ananata kisa mi nimemfiaa...nkaona heri nikaushe tu
Hapa pengine mkutane kwenye line moja ya kazi, safari, seminars, meetings n.k mtakumbushiana na hapo hamtakwepana
 
Mi wangu alijiingiza kwenye biashara ya utapeli ya q net alitaka anipige pesa namwonaga anapost post utumbo utumbo
Ahaha..huyo hakua na mkakati wa mahusiano bali alikuweka kua mkakati wake wa kupata hela via q net, sasa we uli-give up
 
Namkumbuka ..tulikua Chekechea...tulifanya tabia mbaya tukachapwa sana...ameolewa kijijini kwetu na mlevi mmoja sugu...ana watoto watano. Nitamsaidia kumsomesha last born shule nzuri sawa na wanangu!
Mkuu congrates kwa idea hiyo ya kuamua kumsaidia mtoto mmojawapo.
Ila Mkuu kwanini umeamua kumsaidia huyo wa mwsho na si 2,3...au ni damu yako kwa namna fulani?
 
Yupo ana watoto watatu na ndoa yake yenye furaha. Huwa tunasalimiana kimtandao coz tupo marafiki. Last time nilikutana nae MNH nikiwa nasubiri wife ajifungue, we hugged na kupiga stories mbili tatu. Hatuna hard feelings na heshima mbele kama tai.
Good, congrates!
 
😄😁😁😁..
Vipi Mkuu saiv umeshakua competent?
 
Unauhakika kwenye izo semina sio za QNET au AIM GLOBAL ALLIANCE.
😂😂😂😂😂😂
 
Namakumbuka mpenzi wangu Tunda Mpiga sijui yuko wapi? mara ya mwisho nilikuwa naye JKT Msange Tabora, OPP. programme ya chama! kwa mujibu wa sheria, hayupo face Book wala INST. nje nimezunguka sijawahi muona!
Mkuu inaonekana ulikua unampenda sana yeye T,
"Nje" unamanisha wapi?
Ulikua unajua viwanja vyake huko nje?
 
Hahaha hizo jitihada ni za mama yake mzazi, we other female creatures failed it all.

Sahivi hata mademu hataki yupo na gospel zake tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hizo jitihada ni za mama yake mzazi,
The day is good from this reply
Sahivi hata mademu hataki yupo na gospel zake tuu.
Saivi anaonekana kama kioo..
Lakini Vipi hua mnawasiliana kama rafiki tu na kumpa moyo katika kazi ya Bwana, au rewind hupendi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…