Mpenzi wa zaman kumsaidia itakuwaje?

Mpenzi wa zaman kumsaidia itakuwaje?

Mi ntamsaidia tu maana hujui ni kwa nini kaja kukuomba msaada. Msaidie tu ili ajifunze kwamba dunia ni duara na malipo ni hapa hapa duniani.
Unaweza kuta ukabarikiwa maradufu baada tu ya kumsaidia, by the way kwani wewe unajua kesho yako itakuwaje? Dunia mzunguko.
 
Mimi nitamsaidia. Ni vizuri kuwa na uhusiano mzuri na x wako. Lakini wanaume wa bongo wana tabia ya kukata kamba kimya kimya. Na hiyo huwasababishia taabu wanapohitaji msaada tena. Ila ni msaada tu!
 
Hakuna tatizo kumsaidia ex coz ni mmoja kati ya wanaokujua kiundan kuliko hata ndugu yako so mlishare a lot, unaweza msaidia tu kama mtu mwingine yeyote
 
mmh! kama mliachana na x wako in peaceful means mwaweza sadiana bt kama ni kwa njia ya armed strugle hauwezi.
 
Back
Top Bottom