Baraka mungure
Member
- Apr 10, 2013
- 71
- 14
Dunian lazma tusaidiane lakin mpenz wako wa zaman my be mliachana ktambo akaja kwako kuhtaj msaada nawe ndo 2 unaweza kumsaidia baada ya kumsaidia ikawa ndo tena chanzo cha kuanza tena mawacliano nawe wkt alkuwa kasha kata communication. Utamwelewaje?