Mpenzi wa kweli anatafutwa


Nipm au nikupm tuongee
 
Mimi nashangaaga sana hawa dada zetu wakisasa (simsemei mtoa mada wajemin) hasa wa huku kitaa ukimuomba hata namba atakuangalia juu chini kama hakuoni vile!!! maringo hayaishi wanajiona kama dhahabu vile hawajui muda haumngoji mtu!! jirekesheni jamani...
 

Nikupongeze kwakuwa mkweli na muwazi mno, Mungu atakusaidia utapata utakacho! Kwa tuliopitia upweke tunajua feelings zako hasa wewe mwanamke
Jipe moyo fumbia macho post zote zitakazokukejeli utafanikiwa, usipoteze muda wako kujibishana na watu usiowafahamu
Ukifanikiwa naomba niwe kwenye kamati ya maandalizi
 

Asante, mambo yakiwa mazuri wewe ndo muhazini wa kamati.
 
Bandiko zuri kabisaaaaaa. Ungeweka ukiwa umevaa na nguo za michezo (riadha) kabisa, anyway ngoja waje..

Sent from my phone

Nakuunga mkono. Dada kajieleza vizuri sana. Hii ndio inayotakiwa. Mungu akusimamie umpate umpendae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…