Mpenzi wa kwanza.....

Mamaa Afro mamboo....! Unamaanisha unahitaji comfort kwanza, so then u can talk about it....eeh!
Mambo poa tu KipipiMmmhh acha uchokozi Jpili leo Namaanisha hayo mambo yamepitaNa hauko tauari/ na haujisikii vemaKurudi nyuma na kuuaongelea tena..Jpili njema Kipipi..
 
OK. Hapo nimekuelewa, mi nilidhani we unataka action kwanza alafu maneno baadae! Kumbe sivyo....!! Hahahahahaaaa Upo sawa kabisaaa, j2 njema pia.
 
mi hata sura yake sitaki kuiona nn kukumbushia????????????? aende mbele !!
 
Kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.Je una ubavu kweli wa kumkatalia?

hapa inategemea na mambo mengi, kwa mfano kama hauko happy katika mahusiano mapya, huyo mtu wako unaweza kumtekeRezea haja ya moyo wake, lakini kama upo happy na huyo mpya haina haja kwa sababu hakuna utakachokipata kutoka kwa huyo wa zamani nk, nk, nk, nk, nk,nk, nk,nk.......!!!!
 
Kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.Je una ubavu kweli wa kumkatalia?

ahh mimi ata kumuona sitak

hanivutiii hata kidogooooooooooooo yaan puuuh!!!!!!!
 
Misemo mingine ya kishenzi, acheni.
Unakumbushia nini? Unafiki tu, inawezekana
mliachana vibaya eti kwa sababu mmekaa siku nyingi
mnaaanza kurudiana. Ushamba huo. Kaa na anayekushimu,
angekupenda angekuoa au kuolewa na wewe.
 
He! Unamkatalia ndio si mlishaachana? He/She belongs to the past and She/He must remain there.
 
Nafikiri kumkatalia ni busara,vingnevyo ni kuendekeza umalaya usiokuwa na maana!!
 
ahh mimi ata kumuona sitak

hanivutiii hata kidogooooooooooooo yaan puuuh!!!!!!!

Wewe utaishia kusema na mimi nimumiss kwelikweli,twende tukapate moja mbili pale.................................................
 
Kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.Je una ubavu kweli wa kumkatalia?

Unajua kwa upande wa wanawake/mabinti,huwa wanakuwa na hisia kwamba anayekuanza hawezi kukutenda na atakuheshimu sana,na possibly ndio atakuwa mwenza wa maisha.Sasa kama alikutenda mkaachana you can imagine utakavyomchukia na kumdharau,alafu ukumbushie kipi hapo?Hivi kuna mwanamke anayependa kuchezewachezewa tuuu...........
 
Kuna kusahau na kusamehe pia.
 
Hii mara nyingi inategemea mazingira mliyoachana, kama hakukuwa na ugomvi labda mlipotezana au mlishindwa kuoana sababu ya dini kabila, social class uwezekano wa kukumbushia ni zaidi ya asilimia 85%, maana feelings hazikuwa distructed bali maisha ndio yalipelekea nyie kuwa apart
 
Hapo umenena mkuu lazima wata accept reality, then to be honest nashindwa kuwaamin wadada hata kama jamaa wake atakua co wa kwanza bt maadam kashampa mambo adimu kuna possibility ya huo mchezo kurudiwa.
Kitaa kwangu hapa kuna mdada kaolewa na wanaishi fresh tu na mumewe bt kuna jamaa alikua anamega huyu demu kabla hajaolewa, mpaka kesho jamaa akitaka mzigo anapewa kwa raha zote ingawa ni siri mana mume hajui.
 
Hii mara nyingi inategemea mazingira mliyoachana, kama hakukuwa na ugomvi labda mlipotezana au mlishindwa kuoana sababu ya dini kabila, social class uwezekano wa kukumbushia ni zaidi ya asilimia 85%, maana feelings hazikuwa distructed bali maisha ndio yalipelekea nyie kuwa apart
Kwa hiyo ni vema kukumbushia eeeh........
 
Back
Top Bottom