Mpenzi wa kwanza.....

Na kwa nini msisubiriane ama kutafutana ili muoane naye? TUSIPOBADILI TABIA WOTE TUTAISHA NA GONJWA HATARI LA UKIMWI NA WAZUNGU WAINGIE TENA KUTUTAWALA. MNACHOWAZA NI KUPANDANA TU...MMEKUWA NG'OMBE JAMANI...MBALI NA HAPO UMEJUAJE KAMA HAJAWA MHALIFU WA UJAMBAZI...MADAWA YA KULEVYA..AMA JESHI LA OSAMA? HIZO NI TAMAA...INA MAANA KAMA ULIKUWA NA SITA KAMA MIMI NILIVYOANZA WOTE UTAKUMBUSHIA? BORA UNUNUE NIINTENDO UJIPIGE BOMBA MWENYEWE...MTAKWISHA JAMANI
 
Hii ndo mbaya kabisa ukishakuwa addicted.
 
huna ubavu hata kama mliachana kwa kugombana lazima mtakumbushia tu
Kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.Je una ubavu kweli wa kumkatalia?
 
hapo hakuna cha wakwanza wala nini, ni tamaa ya uzinzi tu hiyo, kama washatanguli 10 na kila mmoja akaja kutaka kukumbushia??
 
kwa nini usimkatalie? Kuwa wa kwanza ndio nini? <br />
Alikuwa wa kwanza lakin mda wake ushapita na nafasi yake ishachukuliwa na mtu mwingine.<br />
Watu huwa wanasema awali ni awali bt hakuna kitu kama hicho.
<br />
<br />
Mi nawajua niny wanawake. Mnapo ji-express kwa watu mnajifanya mnamsimamoooo!!! Lakn kumbe ndo wakwanza kwenda kinyume.
 
Mmmhhhh Akianza kukukumbusha Na hutaki kusikia mwambie tu Kwamba hauko comfortable kuongelea mambo hayo sasa.. kama ni muelewa Atakusikia..
Yes,this is the solution to the problem. Afrodens ,it seems you are wise or according to your age ,u are using experience to teach. Jibu lako limeenda shuke kwa kweli.
 
Hebu tuwe wawazi mi nimeshuhudia kwa watu wengi ambao wananizunguka na wachache ambao wamekuwa wazi kwangu % kubwa wana do na wenzi wao wa zamani ni wachache sana wanaotolea nje hao wenzi wao na wengine naona kuwa wanazugazuga tu labda tujadili jinsi ya kupunguza hili
 
kama alinikuna vizuri nampa,ila one time tu asijenge mazoea,mazoea ndiyo yanavunja nyumba nyingi lol
 
I don't think if it's going to be fair for the current guy/husband. Heshimuni mlionao. Muwapende mlio nao. Ndio yale yale ya ule usemi wa "Nice guys always finish last"
Kaazi kwelikweli
 
Kukumbushia nini??? Haiwezekani kuwa kama mwanzo tena, mlishachakachuana na mkachakachuka hakuna cha kukumbushia hapo!! Kama anaweza kurudisha kila kitu kiwe kama mwanzo...poa, lakini kama hawezi itakuwa siyo kukumbushia bali kula makombo...mi simo. Msinirushie mawe pls...lol
 
Haina ukweli wowote, kwanza wangu alikuwa hajui mambo, hata cmtaman yule mwanamke!
 
Back
Top Bottom