Mpenzi wa kwanza maishani hasahauliki?

Mpenzi wa kwanza maishani hasahauliki?

Mkuu ume watonesha kidonda wavunjwa bikra humu!Cheki wanavyo toa povu!
 
Kuna uwezekano mkubwa anayefungua mlango akasahaulika, kuliko aliyefuatia. Maana utamu anaanza kuupata baada ya yule wa kwanza.

Mwanzo alikuwa anakula ugali maharage kila siku sasa pata picha siku hiyo amepiga wali nyama
 
Naawaheshimu ndio maana sijamuuliza mtu specifically kwani hili swali sio kila mtu naweza kumuuliza na ndio maana nikaja kwenye hili jumkwaa la MMU ambalo mambo yanayojadiliwa ni ya mapenzi..Na ndio maaana thread zote zinahusu mapenzi kwa sababu ndio mahali pake!
 
Hakuna ukweli wowote juu ya hilo labda inategemea mtu na mtu...kwangu mie cjui hata kafilia wapi na cmkumbuki tyuu!!!
 
Kuna wakati hilo hufanya kazi. Mnapofanya mapenzi kuna muunganiko wa mengi, kimwili, kiakili na kiroho. Hivyo si ajabu mtu wa kwanza ukamkumbuka maisha yako yote. Hata wale wanaodai hawawakumbuki wenza wao wa kwanza, ujue kuna sababu, mf. Muda, Umbali, Kukua, n.k lakini haina maana hakuna dot yoyote ya kuwakumbuka, wanawakumbuka japo in a minor and rare case
^^
 
Wana MMU eti huu mtazamo huwa ni kweli au?
Kuna watu wanasema huwezi kumsahau mpenzi wako wa kwanza.Tena kwa KE anamkumbuka mtu wake wa kwanza aliyemtoa usichana,atakumbuka mahali alipotolewa,mchezo ulivyokuwa na mengineyo!Kumbukumbu hii hukaa mpaka kifo

wee umemsahau???
 
Kuna wakati hilo hufanya kazi. Mnapofanya mapenzi kuna muunganiko wa mengi, kimwili, kiakili na kiroho. Hivyo si ajabu mtu wa kwanza ukamkumbuka maisha yako yote. Hata wale wanaodai hawawakumbuki wenza wao wa kwanza, ujue kuna sababu, mf. Muda, Umbali, Kukua, n.k lakini haina maana hakuna dot yoyote ya kuwakumbuka, wanawakumbuka japo in a minor and rare case
^^

Sawa, ila mimi simkumbuki hata jina lake
 
Back
Top Bottom