Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
Sijui mimi
Basi anamatatizo, her past is haunting her...mwambie akaombewe kwa mzee wa upako
Matatizo ya nn wakat dem anamkumbuka aliefuata zaid ya wakwanza
Ama bado u bikra au Una neema, Si bure, Chezea first love.
^^
Hakuna ukweli wowote juu ya hilo labda inategemea mtu na mtu...kwangu mie cjui hata kafilia wapi na cmkumbuki tyuu!!!
Sawa, ila mimi simkumbuki hata jina lake
simkumbuki hata Jina
Mkuu ume watonesha kidonda wavunjwa bikra humu!Cheki wanavyo toa povu!