Mpenzi wa kwanza maishani hasahauliki?

Mpenzi wa kwanza maishani hasahauliki?

jf watu wapya wamekuja kuleta fujo tu humu nyuzi zinarudiwa rudiwa na upumbavu mwingi

ndugu wewe umezaliwa jf nini? maana ulivokuwa mgeni wewe haikuwa tabu,kurudia nyuzi ni sehemu ya maisha,kama wewe unaboreka zikirudiwa,si lazima uchangie.
 
huwa nayashtukia maswali yanayokwenda direct promotional kwa mzazi wangu wa kike.
 
Kuna uwezekano mkubwa anayefungua mlango akasahaulika, kuliko aliyefuatia. Maana utamu anaanza kuupata baada ya yule wa kwanza.

Mwanzo alikuwa anakula ugali maharage kila siku sasa pata picha siku hiyo amepiga wali nyama

My X once told me and kept saying "wewe ndio umenifundisha huu mchezo, ckujua kama iko hivi, the bikra remover nilikua nampa tu just to make him happy lkn nilikua sipat raha yyte zaid nikiona kero. We r no longer lovers as I said but she's my best friend, of course. Never forget you is what she has on the back of her mind.
Call me mullaX.....
 
Basi anamatatizo, her past is haunting her...mwambie akaombewe kwa mzee wa upako
 
Wana MMU eti huu mtazamo huwa ni kweli au?
Kuna watu wanasema huwezi kumsahau mpenzi wako wa kwanza.Tena kwa KE anamkumbuka mtu wake wa kwanza aliyemtoa usichana,atakumbuka mahali alipotolewa,mchezo ulivyokuwa na mengineyo!Kumbukumbu hii hukaa mpaka kifo

Haya ndo matatizo ya Tecno kuwa na huduma ya Internet
 
Kwan kila kitu lazma mchangie??mmeitwa au kulazimishwa??hata mkipta tu wapo watakaochangia
 
Wana MMU eti huu mtazamo huwa ni kweli au?
Kuna watu wanasema huwezi kumsahau mpenzi wako wa kwanza.Tena kwa KE anamkumbuka mtu wake wa kwanza aliyemtoa usichana,atakumbuka mahali alipotolewa,mchezo ulivyokuwa na mengineyo!Kumbukumbu hii hukaa mpaka kifo

unaweza tolea bikr kwa kubakwa au baiskeli
kikubwa ni mapenzi na ufundi utakaokuchanganya wa huyo ulienae au aliekutoa bikra
 
Kama ulimpenda kwa dhati na mliachana kwa wema tu
 
tusidanganyane humu ukweli tendo la kubikiriwa halisauliki, madem wote wanalijua hilo. Ni ubishi tu humu jamvini.
 
Back
Top Bottom