Mpenzi wa JF!!

Mwandikie PM invisible wakubadilishie jina lisomeke Lizzy Masa!

Mchungaji, niachie huyu......siwezi shindana na wewe, nitashindwa tu....Lizzy, nimebadilika sasa...nitafanya uliyokuwa unaniambia kama kukuogesha, kukuimbia, kwenda sokoni, sitachakachua nje.....
 
We tumeshasema ai du ndo unaleta kipingamizi!!!
 
mmh.. mimi hapa nanusa harufu ya ugomvi tu huko mbeleni.. Lizzy na Masa hongereni.. hivi si inawezekana hadi kuchukuana kijumla jumla humu humu...?
 
Asantee!Mmh embu niambie nizuie kabla haujaanza...ugomvi kati ya nani na nani Mzee?
 
basi hata najua? ndio maana nimesema nanusanusa tu.. ila vijana endeleeni mkue pamoja na mzeeke pamoja, muwaona watoto wenu na watoto wa watoto wenu. Sasa sijui watoto wa JF wanaitwaje?
 
mmh.. mimi hapa nanusa harufu ya ugomvi tu huko mbeleni.. Lizzy na Masa hongereni.. hivi si inawezekana hadi kuchukuana kijumla jumla humu humu...?
Tayari najiweka sambamba kwa mapambano. Kuna mtu atatoka na ngeu hapa sasa hivi!
 
Mpwa usisahau mzinga wangu wa Red label bila mm hapa usingefanikiwa naona tayari ni mama Mchungaji

Hongera sana Lizzy kwa kumpata mpwa wangu naamini ufalme wa mbingu unanukia moyoni mwako
 
Mpwa usisahau mzinga wangu wa Red label bila mm hapa usingefanikiwa naona tayari ni mama Mchungaji <br />
<br />
Hongera sana Lizzy kwa kumpata mpwa wangu naamini ufalme wa mbingu unanukia moyoni mwako
<br />
<br />
Ufalme wa Mbingu ni kama maji ndani ya mtungini.
 
Mpwa usisahau mzinga wangu wa Red label bila mm hapa usingefanikiwa naona tayari ni mama Mchungaji

Hongera sana Lizzy kwa kumpata mpwa wangu naamini ufalme wa mbingu unanukia moyoni mwako
Kweli Fidel unastahili asante!!Lini unanafasi ukutane na baba mchungaji kwa kilaji?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom