Mpenzi wa JF!!

Hongera sana sasa kaa mbali na kazi za nje kuwa busy na kazi za ndani mpango mzima.

Alikuwa kwenye kitubio mchungaji
Sasa kazi za nje sindo zinaleta maendeleo?Sitaki baba mchungaji aelemewe na majukumu!
 
Ameona nimesha elemewa na kausingizi tayari.

Angalia hawa jamaa watakao amka mda si mrefu wasije wakakupotosha

Basi kapumzike!Ahh baba mchungaji yupo sidhani kama watakua na ujasiri huo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom