Kuna Watu hawaamini kama unaweza kupata mpenzi humu JF

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Habari wapendwa

Kuna Watu hawaamini kama unaweza kupata mpenzi humu jf lakini mimi nasema hivi wapo wenye nia ya dhati kabisa kwa ajili ya ndoa wa kike na wa kiume

Tena wadada warembo kabisa sema watu ni kutojiamini tu naomba nitoe ushuhuda

Niliwahi kuandika humu natafuta mke akajitokeza mdada mrembo tu tofauti na watu wanavyowasemea vibaya wadada wa humu ila tulishindwana padogo tu katika maswala ya umri

Kwa wale mnaotafuta kama mimi msikate tamaa wadada wazuri na warembo humu wapo na wana nia ya dhati kabisa ya kuolewa kikubwa punguzeni masharti yasiyokuwa na faida

Pia mzidi kuomba Mungu narudia tena wanawake wazuri na warembo humu wapo na wanania ya dhati

Naomba kuwasilisha
 
Sasa mkuu mlipishana kidogo kiumri kivipi
Wakati tushakubaliana mapenzi hayaangalii umri au nakosea?
 
Huyo alikuwa haamini kama jamii forum kuna watu kweli au ndo maroboti

Kuna demu niliwahi msikia akisema hivyo
 
Mm nilpata mtu Safi kabisa lkn tukashindwana padogo Sana. Alikuwa na madigrii ya kufa mtu wakati mm la saba naishi kwa ujanja wa mjini tu.
 
Ahahahaha...humu watu (regardless of genders) niliokutana nao af tuka remain in touch kwa 100% ni wale ambao we have been having some issues to attend that add value kwa kila mmoja..biashara...huduma za kikazi na kujikuta friendship comes last..and it lasts long unfortunatelly..
 
Tatizo la warembo wa humu ni hofu zimewajaa,
Kwamba siku mkigombana unaweza kufunguwa uzi humu,

Ila warembo wapo humu na watu wanagegedana kimya kimya..
 
Back
Top Bottom