Mpenzi naomba nafasi nyingine

Kama ni ndoa, mmeoana kwa heri basi hata ikitokea mmeachana mnatakiwa muachane kwa heri sababu kuna maisha baada ya ndoa (mfano, watoto,misiba na maradhi)

Kama ni mpenzi imetokea mmegombana au mmetofautiana basi punguza tu mawasiliano kila mmoja aendelee na maisha yake bila kugombana, kutukanana wala kudhalilishana.

Usimwambie maneno kama sikutaki tena, sikupendi, nakuchukia, nimepata nimpendae nakuona km takataka, siwezi kukusamehe sababu siwezi kurudia matapishi etc.Hakuna anaejua kesho mtakutana wapi na mazingira gani
 
Lakn kwenye Match ya mpira wa miguu(Soka) ukitoka hakuna kurud tena. Nafasi nyngne ipo Mtoni
 
Naupenda huu wimbo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…