Mpenzi naomba nafasi nyingine

umenena mkuu
 
Huja kosea nme achana na mtu juz Kati tu tunapotezeana kwa 6days den tukaombana msamaha.,imepita wiki na siku kadhaa juz ananambia Ana pregnant hapa ndo nipo njiapanda
Mkuu
Kama ulipiga peku kwanini ukae njia panda rudi nyumbani subiri majukumu
 
Dah nikiwaga na vistress vyangu lazma nisikilze haka kasong aisee
 

wewe ushakosea mangapi na ukapewa nafasi tena?

kwanini kila siku ukitaka kusali lazima uombe toba kwanza?

mbona Mungu hajasema hakuna second chance?
 
Hapo tayari umeshamuweka Mungu, kwenye masuala ya mapenzi Mungu anabariki endapo mna lengo moja, ndio nshamkosea sana Mungu na ndo maana huwa natubu na kama ni mpenzi amenikosea huwa nasamehe maisha yanaendelea ila sio kuwa wapenzi tena.
 
Hapo tayari umeshamuweka Mungu, kwenye masuala ya mapenzi Mungu anabariki endapo mna lengo moja, ndio nshamkosea sana Mungu na ndo maana huwa natubu na kama ni mpenzi amenikosea huwa nasamehe maisha yanaendelea ila sio kuwa wapenzi tena.

unaweza kuchagua Mungu akapitisha, kama huwezi kumsamehe mpenzi utawezaje kumsamehe Mume?

Nyumba Imara ni Maandalizi ya msingi Imara

unajuaje kama ndio ulisababisha hilo tatizo?

anaweza kukwambia mimi na wewe basi lakn akathimini makosa yake akarudi kwako akakwambia sorry mpenzi nimetambua kosa langu naomba unipe nafasi tena

kwanini usimpe nafasi ili umprove wrong?

lazima tujifunze kusamehe kwa upole na unyeyekevu
 
Pale unapojigundua huwezi kuacha nyeto Ata kama upo na demu ndani.Pole Sana ndugu yangu
 
Tabia za binadamu huwa hazifanani asilani kila mtu ana yake! ukifananisha yalomtokea mtu fulani ukajumuisha hakika unapotea! wapo wanaofanya maamuzi wakiwa na hasira wakitulia hutafakari nakuona ilikuwa ni makosa. Japo yataka umakini mkubwa n.k

Na ndio maana walotutangulia wamedumu kwenye ndoa kwani wanasuluhisha matatizo pindi yakitokea na kuanza upya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…