moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
umenena sawa kabisaKumpa nafasi nyingine ni sawa na Kumpa nafasi ya kukupiga shabaha baada ya mara ya kwanza kukukosa
ONCE UPON A TIME WILL ALWAYS BE ONCE UPON A TIME ..Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love her when you let her go
Only know you've been high when you're feeling
low
Only hate the road when you're missing home
Only know you love her when you let her go
And you let her go
And you let her go
Well you let her go
Cause you only need the light when it's burning
low
Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love her when you let her go
Only know you've been high when you're feeling
low
Passenger: let her go .....
Saa zingine unakuwaga na mapointi sana ujue..Kumpa nafasi nyingine ni sawa na Kumpa nafasi ya kukupiga shabaha baada ya mara ya kwanza kukukosa
Kweli????Saa zingine unakuwaga na mapointi sana ujue..
Unaweza penda mwili mzima lakini endapo mtaachana sio kurudi nyumaTatizo la wengine wanapenda mwili mzima, jifunze kujibakishia upendo angalau. Muda wote alipo ondoka ulikua unamfikiria yeye ndo mana alipo rudi ukampa nafasi mapema....... Mtu wa aina yake kashakusoma akaona wewe unafaa kuchezewa akili...... Usiwe mwepesi hivyo...
Ndiyo, ila ukianza kutuponda huwaga m-baya kweli yani..Kweli????
Penda ya mwl mzima mkuu mkitengana kila kitu utakiona kichungu...kwanzia chakula, mavazi, maeneo mlozoea kuwa wote pamoja mpaka marafiki.. Mapenzi kitu kingineUnaweza penda mwili mzima lakini endapo mtaachana sio kurudi nyuma
Sa nifanyeje? Nistaafu kuwachana?Ndiyo, ila ukianza kutuponda huwaga m-baya kweli yani..
hapana mkuu hayajanikuta mi ni OBSERVER nmewasilisha hisia za watuPole sana.......yamekukuta
Hapana, uwe kwanza unatuchoma ganzi kabla ya kutuchana .. TehSa nifanyeje? Nistaafu kuwachana?
[emoji23]Saa zingine unakuwaga na mapointi sana ujue..
Kweli atiNdiyo, ila ukianza kutuponda huwaga m-baya kweli yani..