Nahman
JF-Expert Member
- Oct 4, 2023
- 689
- 1,904
Kwisha habari yako!😂Kwaiyo sisi wafupi wenye hela zetu hamtutaki Unataka warefu wenzio ili mzae mangongoti? Eet
Kwisha habari yako!😂Kwaiyo sisi wafupi wenye hela zetu hamtutaki Unataka warefu wenzio ili mzae mangongoti? Eet
Mimi huwa sitoi michango ya harusi braza. Nitakuchangia kwenye ishu zingine lakini siyo harusi! 🙏🏿
Mpwa hebu changia ndoa hiyo😃Mimi huwa sitoi michango ya harusi braza. Nitakuchangia kwenye ishu zingine lakini siyo harusi! 🙏🏿
Siku hizi umekuwa match maker? Fimbo zinakuhusu wallahi maana wakishindwa kuelewana huko lawama zote zitakurudia wewe uliyewamechisha. Bi keafu! 😁😁😁🏃🏿♂️
Kuchangia ndoa miyeyusho tu mpwa...Mpwa hebu changia ndoa hiyo😃
Naona usingiz umekata tu 😀Kuchangia ndoa miyeyusho tu mpwa...
Na saa 9 yote hii uko macho unafanya nini mpwa? Daktari hayupo ama? 😳😳😳
Mkuu unataka kuhalalisha kulala uchi mbele ya kadamnasi
😂😂😂Siku hizi umekuwa match maker? Fimbo zinakuhusu wallahi maana wakishindwa kuelewana huko lawama zote zitakurudia wewe uliyewamechisha. Bi keafu! 😁😁😁🏃🏿♂️
Mrukaji mwenyewe nani? Wewe? You are too good-hearted kuruka mtu sana sana utaanza tu kujieleza how good your intentions were in suggesting those matches, how bad you wanted them to succeed....etc etc 😁😁😁🏃🏿♂️😂😂😂
watanisamehe sababu wakigombana nitawaruka hawataamini kabisa..!!
😂😂😂😂Mrukaji mwenyewe nani? Wewe? You are too good-hearted kuruka mtu sana sana utaanza tu kujieleza how good your intentions were in suggesting those matches, how bad you wanted them to succeed....etc etc 😁😁😁🏃🏿♂️
Eeh mkuuMkuu unataka kuhalalisha kulala uchi mbele ya kadamnasi
Hutak kuchangia matatizoMimi huwa sitoi michango ya harusi braza. Nitakuchangia kwenye ishu zingine lakini siyo harusi! 🙏🏿
Eeh mkuu
Kama ilivyoandikwaa😁
Thank you for your good intentions 👏😂😂😂😂
and how did you know that..?? My intentions were purely genuine,
And you're so 'damnly' right, I love to see people happy in love..!!
Amen ahsante sana 🙏Mungu akupe hitaji la moyo wako , na akupe mume mwema ! Toka 2020 hope anakuandalia kitu chema na kizuri zaidi usikate tamaa !!